Wanaume tumekaa kwenye jukwaa letu tunajadili mambo ya timu yetu, wewe unapita mbele yetu umejifunga kanga moja imelowa maji huku unatingisha wowowo.
King Ngwaba Issue Wala si honeymoon Bali huyu kocha (Thomas Tuchel) ana mbinu za ushindi ukiachana na uwezo binafsi za wachezaji hii ilikuwa tofauti Sana na Lampard ambaye alikuwa Hana mbinu zaidi ya kutegemea uwezo wa wawachezaji.
Kumbe penalt inaruhusiwa, sio?Huyu mtu anatusua penati za nguvu siku hizi, nani kamfundisha ..naona yale madoido ameacha[emoji3][emoji3][emoji3]
Hata me namshangaa anajitoa ufahamuKwa hiyo wewe unaamini kufeli kwa lamapard ni kw kuwa alikua na ugomvi na wachezaji, sio kwamba alikua hamna kitu kichwani?
Sisi mashabiki wa Manchester United siku hiyo tutakua pamoja na Livakuku kuhakikisha City anafungwa.Kesho kutwa liverpool wakipigwa na sisi tukashinda basi uhakika wa top four na kuwa title contender utarudi..[emoji3]
Sijui jamaa huwa anamuelewa Lampard kw kitu gani? Nimefeli kuelewa.Hata me namshangaa anajitoa ufahamu
Wewe pambana na hali yako, ya Lampard inakuhusu nini? Au mnamtaka nini? Kipi kigumu katika sentensi yangu ya awali. Hata Mwinyi Zahara akiifundisha squad tuliyo nayo ya Chelsea na kukiwa na utulivu kwenye dressing room top 4 tunatinga sembuse Lampard aliyeiwezesha academy team kutinga top 4?????. Halafu msiwe mnacoment uzi kama hunielewiSijui jamaa huwa anamuelewa Lampard kw kitu gani? Nimefeli kuelewa.
Nilikwambia mitaa hii yembea kwa nidhamu. Huku kunateleza ukijifanya moto kukimbia utaanguka!Mmeisha
Next Match vs Sheffield United.
Match ya point 3 muhimu, najua hatuwezi kucheza kiutopolo kama manyumbu.
Mabeki ya manyumbu yalikuwa yanakaba huku yanamtingishia Sheffield wowowoView attachment 1695285
🤣🤣🤣🤣🤣🤣yanamtingishia Sheffield wowowo
Sasa hivi tuko wodi moja mkuu. Sema tu kwamba nyie mna nafuu kidogo. Nyie kikosi mnacho lakini hamuwezi kutengeneza end product. Kazi nyingine aliyonayo kocha wenu ni kuifanya timu itengeneze clear chances.Nilikwambia mitaa hii yembea kwa nidhamu. Huku kunateleza ukijifanya moto kukimbia utaanguka!
Hakuna goli la kupewa hapo boss. Ni juhudi za Werner na asingemkwatua very likely lingekuwa goli. Kweli bado tuko nafasi jirani ila sisi ni mgonjwa aliyeruhusiwa wakati ninyi bado mko kwenye matazamio. Manyuu pale juu watashuka tu. Majogoo wakiendelea kutengenezwa supu nao tunawaacha. Hapo ni Man City tu ndio wanatishia amani.Sasa hivi tuko wodi moja mkuu. Sema tu kwamba nyie mna nafuu kidogo. Nyie kikosi mnacho lakini hamuwezi kutengeneza end product. Kazi nyingine aliyonayo kocha wenu ni kuifanya timu itengeneze clear chances.
Mfano jana; Nafasi yenu ya wazi ya kwanza mmekuja kuipata dk ya 60 na pale Werner alipojaribu kuipasua beki yetu dhaifu, Aurier akaokoa. Sidhani kama mnapenda kujivunia goli la kupewa na mabeki wetu akina Dier na mwezake Toby.
Kitu kimoja namkubali bosi wenu Abromovic ni ku-stick kwenye falsafa yake ya matokeo makubwa sasa. Hakuna muda sijui wa kujenga timu. Ukipewa kazi kabidhi vikombe, ukishindwa unaenda.Hakuna goli la kupewa hapo boss. Ni juhudi za Werner na asingemkwatua very likely lingekuwa goli. Kweli bado tuko nafasi jirani ila sisi ni mgonjwa aliyeruhusiwa wakati ninyi bado mko kwenye matazamio. Manyuu pale juu watashuka tu. Majogoo wakiendelea kutengenezwa supu nao tunawaacha. Hapo ni Man City tu ndio wanatishia amani.
Dogo alichesa vizur, ila nafikiri Kova alistahili.Tottenham Hotspurs VS Chelsea Man of the Match = Mason Mount
View attachment 1695786
Tuchel Said
"He can perform under any manager. This is the best thing, he really means it, he has this internal motivation and he's a very nice guy. Big personality, what [more] can you wish for?"
He added: "That [quality] was very clear before, because we watched the team and [under] Frank [he] was a regular starter. [For] Frank there was no doubt he's a team player, and he has the potential that he has.