Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Adjustments.jpg
 

Ndio mkuu a total failure . Hizo mechi 14 na 16 ni nusu msimu huo kwa magoli waliofunga wakifanya hivyo raundi ya pili tena timu itakuwa nafasi ya ngapi ? Ingekuwa hao ni beki sana huyo mwingine ndio forward wakutegemewa.hela walizosajiriwa nazo mmoja paundi mil 80 na mwingine paundi mil 60.

Hao wamefata hela tu hapo hakuna kingine .
 
Safari hii tumeshaelewana na hakuna wakunipinga tena kwamba Kai harvertz ni Nicolas Pepe wakizungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Huu usajili wa harvertz kabla hajaja nilisema mnaenda kupigwa za uso mkaniona ni rival fan tu. sahiz tumeshaelewana haihitaji IQ kubwa kusema harvertz ni flop [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom