Sifia na waliokukimbiza[emoji38][emoji38][emoji38]Wachezaji hawa walikuwa hovyo kabisa jana. Ingekuwa sub ya 5 inakubalika hawa jana walitakiwa nje kabla ya HT
- Mateo Kovacic - alipooza kabisa
- Ngolo Kante - inefective labda kwa sababu ya kuwekwa pembeni
- Timo Werner - hakujua analolifanya
- Édouard Mendy - poor positioning kwa goli la pili na la tatu
- Reece James
- Jourginho - kachoka mbaya
Kweli kabisa maana kante,mendy,kovacic,timo,zuma delux,silva, wamechukua uraia wa uingereza juzi[emoji44][emoji44]Maiti kamung'ang'ania muoshaji. Daah. Ujinga wa lampard kuthamini machezaji yake ya Kiingereza ndo imetughalimu. Hata hivyo tunawapongeza mashabiki wa arsenal mno moyo wa chuma. Sio kwa maumivu haya. [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Hamjaifunga Arsenal mna muda gani sasa?Arsenal ndo kibonde wetu kwa miaka mingi tumekuwa tukiwafunga hata kama tuko vibaya..
Naona hauko serious about this..
Ulitaka Mendy atoke aingie nani? Petr Cech au?Wachezaji hawa walikuwa hovyo kabisa jana. Ingekuwa sub ya 5 inakubalika hawa jana walitakiwa nje kabla ya HT
- Mateo Kovacic - alipooza kabisa
- Ngolo Kante - inefective labda kwa sababu ya kuwekwa pembeni
- Timo Werner - hakujua analolifanya
- Édouard Mendy - poor positioning kwa goli la pili na la tatu
- Reece James
- Jourginho - kachoka mbaya
Hivi Lampard anavuta sigara ?Anachojua kichwani kwake ni:-
1. Pombe
2. Sigara
3. Wanawake
4. Ukocha kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiView attachment 1659962
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa kweli mpira umeanza kushabikia juzi yani kwa game za karibuni sawa mmewafunga united ila hawezi na hajawahi kuwa kibonde wakoTukana unavyotaka ila mimi Castr ninasema Arsenal ana vibonde viwili man u na chelsea.
Hilo nimelisema hata kabla hatujacheza na everton. Usifikiri ni kwaajili ya ushindi
Juzi? Hapana. Nimeanza kushabikia leo.We jamaa kweli mpira umeanza kushabikia juzi yani kwa game za karibuni sawa mmewafunga united ila hawezi na hajawahi kuwa kibonde wako
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Mwee ndio maana mnashinda mech moja mnapigwa 7Sio kwamba Lampard kauza timu ila kakutana na timu bora uwanjani na kila siku tukiwaambia London is red mnabisha sasa Leo mmekubali matokeo kila la heri chama tutafungwa na timu ndogo ila sio Man U na Chelsea.!!!
Mwacheni apumzike kwa kazi alioifanya Jana kwa wanaume wa London.Anachojua kichwani kwake ni:-
1. Pombe
2. Sigara
3. Wanawake
4. Ukocha kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiView attachment 1659962
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na huyo hao ndio wanaoitwa mashabiki maandazi. Anaropoka lolote la kumfurahisha.We jamaa kweli mpira umeanza kushabikia juzi yani kwa game za karibuni sawa mmewafunga united ila hawezi na hajawahi kuwa kibonde wako
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Ushabiki wa maandazi timu ikifungwa ikiwa ya 15 kila msimu mnaama timu Mimi nimeshakuwa kwenye hii timu tangu mwàka 98 nipo form one mpaka nitakapoingia kaburini Mimi ni The Gunners always and forever!!Achana na huyo hao ndio wanaoitwa mashabiki maandazi. Anaropoka lolote la kumfurahisha.
Next Five Games:
Wolves (A), Westham (H), Arsenal (A), Aston Villa (H) and Man City (A).
Hapo natabiri kwamba mtapoteza points walau 6. i.e 3 wins 2 losses, au 2 wins, 2 draws na 1 loss.