Tammy hajafikia viwango vya Ruud Van Nistelrooy bado. Labda mbeleni ila kwa sasa bado. Jaribu kutafuta video zake in case umesahau. Labda uelekeo wake ni kama wa Filipo Inzaghi hivi akilishwa na akina Andrea PirloWatu wanaomponda Abrahamu hebu wajikumbushe mshambuliaji wa Man U miaka ya zamani kidogo aliyeitwa Van Nestroy(kama sijakoesea uandishi wa jina). Hakuwa na mambo mengi uwanjani alikuwa kama fala vile na unaweza dhani hata uwanjani hayupo lakini ukisikia Man u kafunga ni yeye na aliwabeba sana Man U enzi za Fegie.
Mie binafsi nauona uchezaji wa Abrahamu ukishabihiana na wa huyo nguli wa Man U.
I stand to be corrected. Chelsea oyeeee,
Atletico mbona msimu huu wako normal sana,, hata kufuzu kwenye kundi lao imebidi wasubiri hadi gemu ya mwisho dhidi ya salzburgHahaha najua mpira haupo ivyo ila huna team ya kumtoa atltco madrid inaongoza lig kwao huk na imepoteza mchezo mmoja kama sikosei ko wapo strong sana.
Hivi umeelewa ulichokiandika? Yule ngongoti miaka 100 hawezi kuja kuwa kama Vanstroy.Watu wanaomponda Abrahamu hebu wajikumbushe mshambuliaji wa Man U miaka ya zamani kidogo aliyeitwa Van Nestroy(kama sijakoesea uandishi wa jina). Hakuwa na mambo mengi uwanjani alikuwa kama fala vile na unaweza dhani hata uwanjani hayupo lakini ukisikia Man u kafunga ni yeye na aliwabeba sana Man U enzi za Fegie.
Mie binafsi nauona uchezaji wa Abrahamu ukishabihiana na wa huyo nguli wa Man U.
I stand to be corrected. Chelsea oyeeee,
Nadhani hukunielewa mkuu sijasema anafikia bali "anashahiana"Tammy hajafikia viwango vya Ruud Van Nistelrooy bado. Labda mbeleni ila kwa sasa bado. Jaribu kutafuta video zake in case umesahau. Labda uelekeo wake ni kama wa Filipo Inzaghi hivi akilishwa na akina Andrea Pirlo
Labda tuseme anajifunza kuwa kama. Tammy ni mchezaji mzuri ila bado sana kwa RuudNadhani hukunielewa mkuu sijasema anafikia bali "anashahiana"
Anaweza asifike kiwango hicho isipokuwa uchezaji wake unashabihana na wa VanHivi umeelewa ulichokiandika? Yule ngongoti miaka 100 hawezi kuja kuwa kama Vanstroy.
Hiyo ndio ilikuwa mantiki yangu mkuu labda uwasilishaji wangu haukuelewekaLabda tuseme anajifunza kuwa kama. Tammy ni mchezaji mzuri ila bado sana kwa Ruud
Tammy bado umri unamruhusu. Ana uwezo wa kufanya vizuri au hata kuwazidi waliotangulia. Itategemeana na juhudi na maarifaHivi umeelewa ulichokiandika? Yule ngongoti miaka 100 hawezi kuja kuwa kama Vanstroy.
Umepigwa ww mie kama shabiki wa Chelsea nina amin hatujapigwa
Kwa tammy sijawah kuona anachopromise kwa kweli, sijui ni kipi mnakiona.mi naona atakuja kuwa wakawaida tu, kw mtu ambaye ukiniambia nikakuelewa labda Glimor, mchezaji unamuona kabisa.Tammy bado umri unamruhusu. Ana uwezo wa kufanya vizuri au hata kuwazidi waliotangulia. Itategemeana na juhudi na maarifa
Abram kafunga mbili unatakaje tena mkuu??Leo ndio nimejua jinsi gani Lampard ana akili ndogo unamrudishaje Abraham first eleven wakati West ham Wana mabeki wenye nguvu
Tusiende mbali, Drogba mwaka wake wa kwanza na wa pili Chelsea alikuwa akifunga magoli lakini ana makosa debe tena ya kuudhi. Baada ya kuzoea ligi ndio alikuja kutrulia. Nakumbuka tena Drogba alikuwa hawezi kufunga kwa miguu alikuwa akifunga kwa vichwa zaidi ila baada ya kuzoea ligi kwenye mwaka wake wa pili au wa tatu alikuwa kuwa hot cake akifunga kwa miguu na vichwa. Bado naamini Abraham akizoea EPL anaweza asiwe kama Drogba lakini atakuwa akifun ga magoli 20+ kwenye msimu mmoja EPL tuTammy hajafikia viwango vya Ruud Van Nistelrooy bado. Labda mbeleni ila kwa sasa bado. Jaribu kutafuta video zake in case umesahau. Labda uelekeo wake ni kama wa Filipo Inzaghi hivi akilishwa na akina Andrea Pirlo
Hakuna mchezaji duniani anafikia kiwango cha mwenzake. Kila mchezaji ana kiwango chake mwenyewe, uchezaji wake mwenyewe na madoido yake mwenye awapo uwanjani. Kitu muhimu ni kuwa Abraham atakuja kuwa mfungaji muhimu Chelsea wabaya wake wapende au wasipende. It is a matter of timeNadhani hukunielewa mkuu sijasema anafikia bali "anashahiana"
Du! Kweli jamaa alikuwa mnyama kiainaCheck hii uone. Jamaa alikuwa anaweza kufunga kwa kutega na alikuwa anaweza kufunga kwa kuendesha.
dharau iliwazid hawa jamaaAkina DullyJr na Aaron Arsenal na takataka zingine za Arse8 zimeyeyuka gafla.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]