Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea ni kikundi cha Baikoko au wakata viuno, hamna timu mle
 
Havertz sio mchezaji mbaya, ila kalegea sana aisee! akiwa uwanjani mi nahesabia pungufu ya mchezaji mmoja.

Tumepigwa.
 
Wolves, kama mmeweza kwa dakika 45 za mwanzo, mtaweza kwa hizo dakika 45 za mwisho.
 
Kwahiyo Lampard ameshindwa kabisa ya kupata ushindi dhidi ya timu inayo jilinda???

Alafu huyu Havertz ni FALA sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…