juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Iweke Hilo goal hapa nimechelewa kuangalia gameGoal Giroud assist ya Kai
Game na leeds, abraham ajiandae benchHat trick hero, Giroud.
Sio unatupangia takataka Abraham
Kweli kabisa.Hii ndio tafsiri kamili ya Neno kikosi kipana ,hiki kikosi cha pili ni hatari kuliko cha kwanza
Hizo goli 4 wangegawana mbili mbiliHizi goals ilikuwa apigwe spurs🚶🚶🚶
UEFA ijayo kepa awepo jamani
Tunaiita perfect hattrick hapa namsubili Southern Highland huyu anamtetea Sana Abraham anampenda kweli kweli Leo sijui atasemaje?Jana Giroud kafanya makusudi
Maana yake anaweza kufunga kwa pande zote, viungo vyote
- Goli la kwanza guu la kushoto
- Goli la pili guu la kulia
- goli la tatu kichwa safi hadi Lampard akacheka kupita maelezo
Zile nafsi 3 alizomiss Tammy ingekuwa Giroud angepata 2Hizo goli 4 wangegawana mbili mbili
Tot tungemtia mbili na sevilla nae ale mbili