John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,040
Ingawa pia goli LA kwanza LA Sheffield lilitokana na kuchelewa kwake kummark mchezaji wao aliyepiga krosiKante Jana ameupiga mwingi sana Ila hasemwi!
Ingawa pia goli LA kwanza LA Sheffield lilitokana na kuchelewa kwake kummark mchezaji wao aliyepiga krosiKante Jana ameupiga mwingi sana Ila hasemwi!
Kwa jins nilivyomuelewa hiyo inatokea tu pale jorginho anapokuwa yupo ndan ndio kante anamove kutoka kwenye dm kwenda kwenye RCM,Lampard kweli saa nyingine mpuuzi, sikia anavyosema kuwa Kante ana weza kucheza nafasi nyingi, ndio maana anamtoaga kwenye DM position. Kwani hizo nafasi zingine hazina watu, mbona wako wengi tu. Timu inashambuliwa sana Kante asipocheza DM
"His attributes are incredible, he can play in many positions in the midfield. The energy and ability to win the ball back, but also his ability on the ball, which is sometimes underrated, is amazing. He can play in different roles.
"People always want to talk about that he’s the best defensive midfielder and should be in a deeper role. But he can play in lots of different roles to massive effect and I am pleased he is fit now. We will have to keep managing that to make sure he stays fit, because he is massively important.”
Mchezaji hakosi makosa madogo madogo, hata Silva jana kuna pasi kama mbili kapiga katikati wangekuwa sharp kwenye counter Shefield wangetufunga mbili au 3Ingawa pia goli LA kwanza LA Sheffield lilitokana na kuchelewa kwake kummark mchezaji wao aliyepiga krosi
Kutokuruhusu kufungwa magoli mengi hiyo ni advantage kwetu ..muhimu tukikutana na hizi timu ndogo ndogo, ni kuzibamiza tu goli za kutosha maana huko ndo pakupatia point ..hizi timu kubwa ni iwe kuweka heshima tu.Chelsea haijashindwa kwenye mechi 8 mfululizo tangu tupoteze kwa Spurs kwenye Karabao Cup tena kupitia penalti
Katika mechi hizo nane, tumefunga magoli 21 na kufungwa nne tu na ndani ya hizo mechi nane tuna cleansheet 5 na kubeba points 18
Huyu Werner hadi January atakuwa ashaiweka ligi mfukoni..Jana werner alikuwa anafunga hattrick sema tu bahat haikuwa yake
Hizi timu kubwa na sumbufu ikiwezekana ni mwendo wa ulinzi shirikishi 3-4-3Kutokuruhusu kufungwa magoli mengi hiyo ni advantage kwetu ..muhimu tukikutana na hizi timu ndogo ndogo, ni kuzibamiza tu goli za kutosha maana huko ndo pakupatia point ..hizi timu kubwa ni iwe kuweka heshima tu.
Viva Chelsea 💙💙💙
Ipo siku mtanielewa katika swala la Tammy. Hebu angalia alivyotumia udhaifu wa mabeki kwa kujiposition vizuri kwenye space ya kutosha. Angekua striker mwingine au yule Tammy wa zamani angeenda naye kwa wale mabeki watatu ili asubiri cross ya Kova kuja golini.
Saivi Arteta kaanza kumtetea kwenye press. Wanasahau tuliwaambia hamna kitu muleMliokuwa mnasema Ooooh Willian abaki ili aendelee kumpa uzoefu Ziyech mko wapi?
Hebu mkuje hapa tuzungumze kwanza. View attachment 1621995
Kawaida yake kufanya hivyoKante Jana ameupiga mwingi sana Ila hasemwi!
Same to reece james wa msim huu sio yule wa msim uliopita.Ipo siku mtanielewa katika swala la Tammy. Hebu angalia alivyotumia udhaifu wa mabeki kwa kujiposition vizuri kwenye space ya kutosha. Angekua striker mwingine au yule Tammy wa zamani angeenda naye kwa wale mabeki watatu ili asubiri cross ya Kova kuja golini.
Proffesionalism at its best. Dogo ana improve sana hata yale malalamiko kumhusu yeye siku hizi yamepungua.
Holla Blues[emoji838][emoji838][emoji838]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu ya ushindani wa kikosi ndio maana karise standard, kipindi kile alikuwa Hana competition lakini na pressure alikuwa nayo cos alikuwa Ni striker tegemeziIpo siku mtanielewa katika swala la Tammy. Hebu angalia alivyotumia udhaifu wa mabeki kwa kujiposition vizuri kwenye space ya kutosha. Angekua striker mwingine au yule Tammy wa zamani angeenda naye kwa wale mabeki watatu ili asubiri cross ya Kova kuja golini.
Proffesionalism at its best. Dogo ana improve sana hata yale malalamiko kumhusu yeye siku hizi yamepungua.
Holla Blues[emoji838][emoji838][emoji838]
Sent using Jamii Forums mobile app