Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naomba niseme haya

1; sasa hv safu ya ulinzi iko vzr kuanzia kwa dawa ya washambuliaji pinzani (Mendy), zouma na silva ila washambuliaji bado cjaona makali.

2; leo nmemuona kepa, daaah jamaa mpaka nmemuonea huruma 😭😭😭 japokuwa cjawah kumkubali ila ntaongea na FL ampe game ht moja la UCL kama tukipita makundi
Akipangwa jorginho pale Kati usitegemee Chelsea tutafunga magoal mengi au kucheza mpira wa kushambulia sana
 
Akipangwa jorginho pale Kati usitegemee Chelsea tutafunga magoal mengi au kucheza mpira wa kushambulia sana
Itabidi tuvumilie mpk weekend hii,
Kai hatokuwepo kakutwa na corona

Uzuri baada ya wiki hii tunaenda kwenye mech za tim za taifa hapo itakuwa advntage kwetu
Itategemea kama akiwahi kupona bas baada ya international games atarudi dimbani
 
kwel jorghino anatuangusha sana sio crearivity pia naona combo ya mount na kai ipo vizuri kuliko hii ya jorghino
 
1st goal. Werner
CgAGVV-jC6uAXMdiABFPBlBJoKk922.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom