Dah acha tu shida nilimfuata kwenye mkeka halafu ndo aliyekuwa ananipa presha ndo maana mpaka sasa sijaamini alishindajeWalifungwa kama nilivyosema, Sevilla waliendelea kumiliki mpira utadhani hawana red card. Sijui hata hayo mawili waliyafungaje
Yule sidhani kama watakubali kumtoa..Watupe yule mholanzi
Me naona combo ya Pogba na Kante italeta hatari balaa, itawasha moto. Bado naamin Pogba ni mchezaji mzuri sana pengine anaweza akabadilika akitoka Man United.Afadhali ya Jo mara 10 kuliko Pogba, yule ana dharau, hawezi passing za kasi ya FL, atadilute timu. Jo ana mapungufu yake lakini ni kiongozi, anajua kuinspire, hana majungu kama Pogba, hiyo kwake inatosha kuwa asset kwa Chelsea
Ingefaa sana kama ungetuwekea maana BA ni former player wetu na kaifunga Man United hivyo tunajisikia Faraja kweli kuona li timu kama Man u likiadhibiwa na xplayer wetu ambao pia waliwahi kuiadhibu wakiwa Chelsea😀😀😀Ntaweka siku hazard akiwazadia kwa jezi ya madrid
Itakuwa amem'baka nani sasa mkuu?View attachment 1620501wazungu wameshaanza uchawi, siku sio nyingi tutasikia mendy amefukuzwa UK kwa kosa la ubakaji
Ingefaa sana kama ungetuwekea maana BA ni former player wetu na kaifunga Man United hivyo tunajisikia Faraja kweli kuona li timu kama Man u likiadhibiwa na xplayer wetu ambao pia waliwahi kuiadhibu wakiwa Chelsea😀😀😀
Hivyo tunaomba hilo goli haraka sana😎😎😎
Usi mind bhana ..ni utani tu mama'ke 😀😀😀Ndugu hamna shukrani kabisa. Tumieni MB zenu kwenye huo upuuzi. Ama kweli shukrani ya punda mateke
Huyu huyu Ba ndie aliwaadhibu Liverpool na kuwanyima ubingwa 2014 enzi zile za Suarez baada ya lile tukio maarfu la Steven Gerrad kudondoka goliniIngefaa sana kama ungetuwekea maana BA ni former player wetu na kaifunga Man United hivyo tunajisikia Faraja kweli kuona li timu kama Man u likiadhibiwa na xplayer wetu ambao pia waliwahi kuiadhibu wakiwa Chelsea😀😀😀
Hivyo tunaomba hilo goli haraka sana😎😎😎
So easy like that. Magwaya angepata fursa angemtandika nyeti za huyo Demba
Natafuta na lile goli la 2014 vs Stephen Gerrad
Ww c unaona hapo wanasingizia tauloItakuwa amem'baka nani sasa mkuu?
Demba ba ktk ubora wake
Huyu alivyovunjika vibaya sikudhani kama angerudi tena uwanjani aisee
Kwani huto tupicha tunatumia MB ngapi?Ndugu hamna shukrani kabisa. Tumieni MB zenu kwenye huo upuuzi. Ama kweli shukrani ya punda mateke