Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pulisic-Werner-Ziyech
Chilwell--Kai-Kante-James
Zouma-Silva-Cesar
-Caballero/Mendy

Kama anapanga hivyo inaweza kutusaidia kusecure ushindi nyumbani.
Kwenye 3-4-3 Kai hawezi cheza Kiungo labda winga. Kai sio mzuri kwenye kukaba, 3-4-3 haina CAM ina DM wawili tu labada kama FL atadhubutu 3-5-2
 
Kwenye 3-4-3 Kai hawezi cheza Kiungo labda winga. Kai sio mzuri kwenye kukaba, 3-4-3 haina CAM ina DM wawili tu labada kama FL atadhubutu 3-5-2
Kwa sasa ni ngumu kucheza 343 au 352 kutokana na wachezaj tulionao
Tukisema tucheze 343 kai ataanzia nje
Tukisema tucheze 352 pulisic n ziyech wataanzia njee
 
Kuna wanaosema Ziyech bado atatokea benchi, Ngolo Kante atapumzishwa na Azpilicueta
Kwa hiyo Predicted Line Up dhidi ya Sevilla itakuwa hivi
1603208135910.png
 
Kwa sasa ni ngumu kucheza 343 au 352 kutokana na wachezaj tulionao
Tukisema tucheze 343 kai ataanzia nje
Tukisema tucheze 352 pulisic n ziyech wataanzia njee
Changamoto iliyoko ndio hiyo kwa sababu 3-4-3 au 3-5-2 ndio formation inayoshield mabeki vizuri lakini italazimisha Kai awe sub ya winga, 3-5-2 inahitaji striker wawili na hivyo Pulisic na Ziyech watakosa namba na tukisema 4-3-3 haina tofauti sana na 4-2-3-1, mabeki wanakuwa exposed labda tupate DM mmoja kama rice wa kusaidiana na Kante
 
Kwa sasa ni ngumu kucheza 343 au 352 kutokana na wachezaj tulionao
Tukisema tucheze 343 kai ataanzia nje
Tukisema tucheze 352 pulisic n ziyech wataanzia njee
Dawa nu kumaintain tu 4-2-3-1 au 4-3-3 na kuajiri DM wa pili ili Jorginho, Mount na Havertz wabaki kwenye CAM au forward
Bill Gilmour akipona anaweza kuwa DM backup mzuri
 
Sevilla leo tunajambo letu naam

Na mchague mapemaa kipa wenu....leo atadaka Zabalaga au Mendy au yule mzee..
Mana Sevilla hawana dogo.
 
Nitakuwa namuangalia Ocampos leo akiwapanua miguu cheltako[emoji16][emoji16]
 
Chelsea wamemuweka Petr Cech kwenye kikos cha wachezaji 25 EPL

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chelsea wamevurugwa aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom