Kepa alistahili kucheza Championship na mwenzake Christensen na TomoriTuna backline nyepesi kuliko shati la mlevi. Kukosekana kwa Silva na Mendy ni pigo sana kwetu. Hawa The Saints wanaleta mazoea sasa mwaka jana walitufunga nyumbani, jana wamedraw . Yan sisi wenyewe tunaufanya uwanja wetu mgumu kupata matokeo.
Mkuu usajili wa dirisha dogo January tunahitaji CB matured awachape vibao na makonzi kina Chris. Huwezi kufanya blunders kama zile mtu aendelee kukuchekea tu.Kepa alistahili kucheza Championship na mwenzake Christensen na Tomori
Mwakani lazima Chelsea imnunue CB na Goal keeper wa kushindana na Mendy, Kepa hafai hata kushindana na Mendy
Usajili wa Pound mil 200 tume uona.Yan wewe umenyongorotwa uko unakuja uku kuleta mdomo. Wenzako kina Dully washachenyemba JF kabisa.
AZIZA kama AZIZA ,usajili wa Pound mil 200 tunauona.
[emoji3][emoji3]
Umesaidia kuzalisha magoli yote matatu jana. Werner mawili akatoa na assist kwa Kai.Usajili wa Pound mil 200 tume uona.
Usajili wa Pound mil 200 tume uona.
Naona ugonjwa wako umekimbilia kichwani hata hujui kinachoendelea kwenye ulimwengu wa soka.Usajili wa Pound mil 200 tume uona.
Naona jana mumeicheza vizuri mechi kubwa ng'onda nyieNinyi Ng'ombe F.C nadhani amejifunza kwetu namna ya kuzicheza mechi kubwakubwa. Next time msitolewe kiboya wajinga nyie
#COYG.
#COYG
Mkuu sema tena!!!Timo alikua offerred kwa Klopp. Klopp akaambiwa fee ni 45M akasema ni nyingi akaachana na Werner, Chelsea wakamchukua.
Klopp akatumia 43M kumsajili Diogo Jota.
Nikaona Klopp miyeyusho kaacha ST aliyejiestablish kule Bundes kwa 45M halafu anatoa 43M kwa ajili ya Jota?
Fast forward mpaka leo.
Diogo Jota ana goli moja la ligi na Werner hana goli. Nasikia bado anazoea ligi.
Hahaha ungeniquote katika uzi niliosema kwamba timo ataperform vizuri akiwa kati.Mkuu sema tena!!!
Ulichokisubiria umekipata jana kwa Timo na Havertz.
Nipe ripoti ya Willian na Auba
Mkuu kipindi mnaanza judgements alikua anapngwa kotekote striker na wingHahaha ungeniquote katika uzi niliosema kwamba timo ataperform vizuri akiwa kati.
Willian sijawahi kumuongelea chochote. Auba na yeye inabidi arudishwe kati. Katika games za jana ni NewCastle tu ndiyo waliruhusu goli ambalo mchezaji anatokea wing (likawa offside) naona mabeki wengi wamekua serious na magoli ya hivyo.
Anyway, nyinyi kinachowaponza ni huyo mdhamini. So mkidhaminiwa na 5G tutarajie nini?
Comparison may be...Mkuu kipindi mnaanza judgements alikua anapngwa kotekote striker na wing
Mashabiki wa chelsea huwa hatukosi sababu pindi matokeo yanakuja tofauti huwa tunamgeukia kocha mara kwa mara siku mount asipoanza utaskia kwanini mount hakuanza siku akianzishwa utaskia why aanzeMashabiki wamkasirikia LAMPARD kuwaweka kikosini KEPA na Christensen
View attachment 1603616
Niliwahi kusema wiki chache zilizopita. Kadri muda unavyozidi kwenda ni kama kiwango cha Kanté kinapungua hasa umakini uwanjani sasa kabla mambo hayajaharibika ni kwa nini asiuzwe halafu hela itakayopatikana tukaleta wachezaji damu changa na wa maana kama Rice au Eduardo CamavingaIla pia sikupenda Jorginho acheze 90 minutes kwa sababu huwa hawezi. Siku Jorginho akicheza anacheza vizuri kipindi cha kwanza, akirudi cha pili anakuwa kachoka na Kocha haoni. Kipindi cha pili Southampton walitawala mpira sana kwa sababu ya Jo kuchoka
Pia jana nilimuona Kante akipoteza sana mipira
Wakuu naomba tu discuss hapa najua nyie ni wafuatiliaji wazuri. Nyi mnahisi shida ya Lampard iko wapi mpaka mnasema ivyo? Labda pengine Lampard ndio amesababisha tukatoa draw au?Daaah Lampard atupishe hii ni aibu
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mpira, basi utakua umeshatambua kuwa Lampard sio kocha wa kuipa timu epl wala uefa. Kiufupi hana mbinu za kutufikisha popote zaidi ya maximum nafasi ya nne. Na huu ndio ukweli hata watu wakipinga