Kai harvertz ni Nicolas Pepe wakizungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpotezee huyo Yy kakariri magoli tu....amesahau mchezaji wake pogba kamaliza msimu uliopita na goli 1 tu...Umeona uchezaji wake au kwasababu hajafunga goli?
Tuliza wenge mkuu dogo kacheza vizuri. Movement yake ipo sawa kabisa.
Husipime ubora wa mchezaji kwa kufunga goli. Ingekuwa ivo basi wote wasiofunga magoli wasingekuwa wanacheza uwanjani
FL atakuwa akimuanzisha Odoi ili kuua hizo rumoursTaarifa za odoi bayern wanamtaka ila lampard anamtaka aendelee kuwepo
Ziyech nilisema nyuma tutegemee kumuona baada ya international break
Magoli yenyewe yakusukumana sukumana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1st goal. ChilwellView attachment 1589295
Magoli yakusukumana sukumana tu[emoji23][emoji23][emoji23]2nd goal. ZoumaView attachment 1589296
Kumbe magoli ya penati miwili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]3rd goal. JorginhoView attachment 1589297
Hapo Zouma katum,ia urefu wake kisawasawa2nd goal. ZoumaView attachment 1589296
Hivi wewe hujapata buzi bado, mbona unahangaika sanaChelsea have had 9 penalties this season but you won't hear a word because they aren't Manchester United.
We amberruti umekuja na hasira mbna [emoji2][emoji2] relaxHivi wewe hujapata buzi bado, mbona unahangaika sana
Ukweli unauma [emoji28][emoji28]Hivi wewe hujapata buzi bado, mbona unahangaika sana
Depal achana nae huyo mtu ana tatizo la akili ndio maana anaongeaga pumba Sana.Duh! Punga?
Aisee control vidole vyako vibovu hivyo...
Afu sijaielewa statement yako.
Kuna moja kasave iliiona mzeeMendy hajapewa shida sana kutoka palace ila angekuwa kepa bc palace wangejitahidi ht kupiga on target 20