Malafyale vipi wale waliokuwa wakisema Klopp Out! bado wana maoni hayo hayo kwa sasa kwa sababu nakumbuka wewe ulikuwa na maoni ya kumpa Klopp muda wa kuijenga timu mpaka mkaunda Liverpool asili bali wenzako akina King Ngwaba wao walitaka matokeo ya haraka wakaanzisha movement ya Klopp Out!Ngariba Klopp alipita hapa week jana
Leo kaibukia London
Kisu cha ngariba hakiwezi lala bila damu
Hao ukawasalimie huko maana huku itachukua muda kuja hasa Aroon, Dully hana aibu utakuta leo tu jioni yupo humu kama mchawi vileDully Jr na Aaroon hamjambo?bila shaka mtakuwa mmeamka salama.
Lampard ni mvumilivu mno ukiona imefikia hapo maana yake dirisha la Alonso kutokea Chelsea limeshafunguliwa, Emerson hatauzwa tena. Kambi iko salama, hata wachezaji wengine walikuwa na hasira kwa Alonso. Silva kaomba msamaha kwenye ukurasa wake wa Instagram. Kwa hiyo inaonyesha timu nzima iko responsible na hawataki masihara. Werner alishema amekasirishwa na matokeo. Hakuna mchezaji yeyote aliyependa alichokifanya Alonso. Kwa hiyo mkuu upoe tu mambo shwari kabisa darajaniWaelewane tu ili kuleta hali ya hewa nzuri kwenye vyumba vya kubadilishia nguo....hatutaki mambo ya migomo baridi na virusi
Kabisa Cha msingi Lampard apange kikosi kizuri.Chelsea baadaye tuna jambo letu dhidi ya Tottenham Hotspur
God Bless The Blues 💙💥
Mkuu popote ulipo nakuomba shikilia nguzo mi nitapita kukubeba maana nahisi ndio njia pekee kukusaidia. Utapeperuka
Hiv issue ya Rudiger ipo vipi? Mbona hata kwenye sub hawekwi?Emerson hauzwi tena
Change of plans
Emerson alikuwa akaunganike na Conte kule Inter lakini baada ya ugomvi wa Alonso na Lampard sasa inaelekea hatauzwa tena ili abaki kuwa backup ya Chilwell na badala yake Alonso atapigwa bei chapchap kabla dirisha halijafunga october
Hizi ng'onda zinarudi leo usiku.Ni bora haya matakataka ya Arsenal yatapotea siku kadhaa. Maana yalizidi fujo.
Shubamiti.
Ukiona mchezaji hata benchi hakai ni hatakiwi na kocha aidha wanaugomvi au hafundishiki!!. Kama Lampard akipush kumsajili Declan Rice basi Rudiger ni wa kuuzwa au kutolewa mkopo tu. Naona Brarca, PSG na Spurs wanamtakaHiv issue ya Rudiger ipo vipi? Mbona hata kwenye sub hawekwi?
Sio jota tu hata AlcantaraJota
Inaelekea ninyi hamfuatilii mpira na norms zakeSio jota tu hata Alcantara
Sawa baba, tumekuelewa ww mwenye fani yakoInaelekea ninyi hamfuatilii mpira na norms zake
Hii nimemjibu jamaa na nina paste tena hapa
----------------------------------------------------------------------------------
Jota katoka EPL sio ligi ya nje
Thiago Alcantara Liverpool walimrisk kuwahi kucheza sasa anasumbuliwa na fitness issue, Klopp mwenyewe kasema
Jürgen Klopp has explained Thiago Alcantara is likely to be sidelined until after the forthcoming international break.
The No.6 was ruled out of Monday night’s Premier League meeting with Arsenal due to a minor fitness issue.
Haya ni mambo ya kitaalamu na inahusisha wataalamu wengi msipende kuingilia fani isiyo yenu
Chilwell wa Chelsea alinunuliwa akiwa na injury na alihitaji kupona na kupata fitness
--------------------------------------------------------------------------------
Bado tuna mechi nyingi amna acha ya kuwahisha wachezaji ambao hawako vizuri ki mchezo; siyo kutoka nje ya professional kisa ufurahishe watu flani.Inaelekea ninyi hamfuatilii mpira na norms zake
Hii nimemjibu jamaa na nina paste tena hapa
----------------------------------------------------------------------------------
Jota katoka EPL sio ligi ya nje
Thiago Alcantara Liverpool walimrisk kuwahi kucheza sasa anasumbuliwa na fitness issue, Klopp mwenyewe kasema
Jürgen Klopp has explained Thiago Alcantara is likely to be sidelined until after the forthcoming international break.
The No.6 was ruled out of Monday night’s Premier League meeting with Arsenal due to a minor fitness issue.
Haya ni mambo ya kitaalamu na inahusisha wataalamu wengi msipende kuingilia fani isiyo yenu
Chilwell wa Chelsea alinunuliwa akiwa na injury na alihitaji kupona na kupata fitness
--------------------------------------------------------------------------------
Hiv kwa hizi beki zetu tia maji maji Rudiger wa kuuzwa kweli? Hiv huyo Christensen amemzidi Nini Rudiger?Ukiona mchezaji hata benchi hakai ni hatakiwi na kocha aidha wanaugomvi au hafundishiki!!. Kama Lampard akipush kumsajili Declan Rice basi Rudiger ni wa kuuzwa au kutolewa mkopo tu. Naona Brarca, PSG na Spurs wanamtaka