Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Kocha yule mwepes sana LAMPARD HAJUI ANACHOKIFANYA YULE ANAJIFANYA DAZ NUNDA MGUMU WAKATI TIMU YKE MBOVU KAI NYORO NYORO SANAA EPL YULE ANAKUWA KAM MUSONDAKwahyo wewe unaona kulikuwa hamna haja ya kusajili....!? Na kikosi kile cha msimu uliopita.....mbona mnajudge ndo kwanza game ya 2 na si game ya 38 mshaanza kutoa lawama....kikosi cha Leo sajili zote zimecheza?
Inadepend na injury aliyopata mchezajiTrh 26 kama pulisic, ben na ziyech wakiwa bado ni majeruhi bc madaktari nao tumepigwa, injury gn hizo zisizopona.!
Kuna jamaa hapa kitaa jana aligogwa na ndege lkn leo yupo mzima nkachek nae mpira, sa iweje hao washindwe kama sio nao tumepigwa.!
Mkuu, pale Chelsea watu wote kasoro pulisic na mmiliki wa Chelsea tumepigwa kuanzia mashabiki, wachezaji, madaktari, wafagia uwanja tumepigwa, naamini ziyech hatujapigwa.Inadepend na injury aliyopata mchezaji
Wiki ijayo tutegemee kumuona ziyech na silva kwanza
Ziyech nimesoma kwa fpl anategemewa kurudi tar 26
Tusubir ndio kwanza tuko gw2 bado kuna gw36 zimesalia.Mkuu, pale Chelsea watu wote kasoro pulisic na mmiliki wa Chelsea tumepigwa kuanzia mashabiki, wachezaji, madaktari, wafagia uwanja tumepigwa, naamini ziyech hatujapigwa.
Kama wa humu ni warembo basi wewe uliyebaki ni mrembo zaidi nahisi unaweza handle wote humu. Kazi kwako mrembo mkuuWarembo wa humu mmeniachia jukwaa peke yangu jama..rudini tupambane
Kepa au kule Spain wanamuitaHivi kati ya KEPA na KLAUS KINDOKI yupi kipa mzuri wajameni?????
Kwa hiyo Lampard ni takataka?Forget about competing for titles as long as Lampard is the coach.! Great player but clueless as a coach.
Mjinga ni nani sasa?![emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndo kiongonzi wa makubwa jinga kwasababu unauamini ujinga ulionao kuwa uko sahihi.
Me nashangaa Sana.. Kuna Wa2 Sijui mpr wanauangalia vp.. Ww ukacheze rugby vile..hutegemee refa atakuacha na ni M2 wa mwsh.. Aliye pewa Kadi ametoka kiroho safi..m2 analeta mjadala eti kaonewaHivi kati ya refa na wewe nani ni mpuuzi?? Tena huenda upuuzi wako ni wa kiwango cha Lami
Imekuaje?[emoji3][emoji3]Wazee Leo tunamuua jogoo
Uto kama uto[emoji3][emoji3][emoji3]Forget about competing for titles as long as Lampard is the coach.! Great player but clueless as a coach.
Yan ushabik Tena wa kipuuz.. Ww Kadi kbs ya wazi eti M2 bila aibu anasema refa mpuuz.. Huyo M2 utasema anajua mpr kwl!Dah jamaa nimeshangaa sana alivyo uliza hilo swali sijui ndio ushabiki