Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Kwani tukipigwa wewe unateseka sana? mbona washabiki wa Arsenal mnaumia sana na wachezaji wapya wa Chelsea ilihali mna uzi wenu wa kujadili mambo ya Arsenal?Hamna timu pale mumepigwą kuanzia kocha hadi wachezaji
Me binafsi nashangaa kwanini wanawajibu Hawa matakataka me mbona si reply comment zao kwani wasipowajibu wanapungukiwa Nini?badala ya kujadili team yetu tunapoteza muda wetu kuwajibu haya manyumbu.Ila nyie mashabiki wa Chelsea baadhi mnamatatizo sana, yaani unapoteza muda kujibu komenti za punda na takataka kweli.
Acheni waandike wenyewe, wakiandika bila kuona kujibiwa wataacha wenyewe.
Kabisa ukimya ni hekima ya juu sana kuliko kuendelea kujibiza na hilo li Gpili na matahira wengine wa ArsenalIla nyie mashabiki wa Chelsea baadhi mnamatatizo sana, yaani unapoteza muda kujibu komenti za punda na takataka kweli.
Acheni waandike wenyewe, wakiandika bila kuona kujibiwa wataacha wenyewe.
Kai Havertz has been really outstanding tonight. Great signing! If he continues to work hard and up his game every week, then he might reach the level of Andreas Pereira and Lingard one day.Habari wana bluez wenzangu..
Nilioyaona jana.
Timu iko vizuri, sema tu fitness bado haijafikia ile inayotakiwa(siku zote gemu za mwanzo hua na shida sana)..
RLC jana alizingua sana inatakiwa akajipange hasa.
Havertz nae jana hakucheza vizuri , nadhani ugeni wa ligi na pia kuna kitu kitakua kinamtesa(matarajio.makubwa kwa epl kwake), price tag yake na sifa alizopewa ndio zitakazomtesa kwasasa.. Ila naamini ni mchezaji mzuri na atakua form muda sio mrefu.
All and all,, nimefurahi kitu kimoja tumeshinda japo hatukucheza vizuri (Na hivi ndo timu bingwa zinavocheza) hata kama hawajaji"commit 100% matokeo yanapatikana..
Sipati picha tukiwa on form nahisi vichapo vitakua vikali sana
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Sportsman[emoji736]Habari wana bluez wenzangu..

Wote mavi matupuMbona huwasemi Thiago na Chilwell?
Anakakamaza fuvuHuwez kuelewa maana umekaza ubongo
Hawa ni watoto wadogo sana mkuu, wenyewe wanaelewa... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi nitawapa dozi muda wote, hawana cha kunizuia,Mngewatandika ile fainali ya FA cup huyu DullyJr asingekuja humu tatizo Mlipigwa kwahiyo Vumilia maumivu tu.
Tusikitike kidogo titiitititititititi[emoji24][emoji24]Kai Havertz
0 goals
0 assists
0 shots
0 shots on target
56% pass completion
24 times dispossessed
Best debut of all time?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
£100m[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaaaaaaa... [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa hivi wataanza kùsema kai haveret ni hatari akiwa haną mpira [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kai Havertz new Lord Lingard New Lord Perreira.
Kama.wewe ukipost ujinga tunavyokupita na kukuacha uneng'eneke [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna uzi fulani ukiandika mambo ya kipuuzi kama huu wa kina PUNDA na MATAKATAKA walahi huto ona comment yako ikipata reply yoyote ile zaidi ya ww kupoteza muda tu.
Wao wako busy na mambo yao, ww utapost mpaka uchoke kisha uache. Sasa mm nashangaa kwann tusiwe hivyo mtu atipost ujinga etu ndio tunakuwa wa kwanza kumjibu