Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Walitaka watutukane na sisi tumuachie mungu tu. Tumewajibu kistaarabu wanaanza kulalama waoYANI BAADA YA KUSHINDA MICKEY MOUSE CUP YAKAANZA KUSUMBUA LEO YANATUGEUZIA KIBAO ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HIZI TAKATAKA BHANA..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ndio nilipata mkuu.Halafu kweli hivi wewe ulipataga kazi niliona unalalamika au bado jobless
Bado nakumbuka mkuu.Ya mwaka huu juz hapa mwez wa 8 umesahauView attachment 1560383
Juzi tulivyo draw na Briton walisumbua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walitaka watutukane na sisi tumuachie mungu tu. Tumewajibu kistaarabu wanaanza kulalama wao
Nimeenda kwenye Instagram ya Chelsea sijaona wakisema Wana mechi ya kirafiki leo sijui hii imekaaje?Nilisikia pia humuhumu alisema Papaa Gx
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie kusajili kwa mbwembwe ni kawaida yenu.
Halafu hivi zappacosta mzee wa kumimina krosi yupo kweli.
Nyie kusajili kwa mbwembwe ni kawaida yenu.
Halafu hivi zappacosta mzee wa kumimina krosi yupo kweli.
Hello WANABLUES kwanza HONGERA nyingi kwetu kwa kumleta Germany Machine KAI.
Tumetendea haki dirisha hili la Usajili, tumefanya sajili kubwa na za kimkakati. Hongera Lampard, Hongera Marina.
Changamoto bado ipo katika eneo la Kipa na CB (Rudger & Zouma hawa jamaa msimu ujao wakaze makalio wapunguze maboko).
Mungu ibariki Chelsea yajayo yanafurahisha.
Yeah KEPA tunampeleka kaa mkopo arsenal au hata Spurs uko akapate uzoefu zaidi.Kwa nini Chelsea wasimsajili huyu kipa wa AC Milan Gigi Donnarumma na ana mgogoro wa kimkataba na Milana hapo hapo Milan wanataka kupunguza mishahara ya wachezaji. Ana miaka 21 tu na anadaka vizuri tu kuliko KEPA
Hakuna timu iliyosajili 100% na wote 100% wakaperform vile walivotarajia..[emoji828]Shevchenko flopped there
[emoji828]Robben flopped there[emoji12]
[emoji828]Morata flopped there[emoji847]
[emoji828]Torres flopped there[emoji28]
[emoji828]Falcao flopped there[emoji41]
[emoji828]Debryne flopped there[emoji2]
[emoji828]Salah flopped there[emoji85]
[emoji828]Kepa flopped there
And
[emoji3502]Ziyech will ... there[emoji23]
[emoji3502]Wemer will ... there[emoji1745]
[emoji3502]Sarr will ...there[emoji1787]
[emoji3502]Thiago will ... there[emoji849]
[emoji3502]Chiwell will .... there[emoji2297]
Which club is that[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkiwa mnajadiliana hivi inapendeza sana.Hakuna timu iliyosajili 100% na wote 100% wakaperform vile walivotarajia..
Ndo sababu kwenye list yako hakuna drogba, essien, ballack, lampard, cech, hasselbaink, kante, hazard ,di matteo na wengine wengi tuu...
Kweli mkuuu si matusMkiwa mnajadiliana hivi inapendeza sana.