kwa leo hongera za dhati darajani..Rev. Masa usikeshe na Invisible toa misamaha ya ban kusherehekea huu ushindi...hata sangria yangu leo haishuki vizuri, mtamtambua Messi huko Catalunya!!
Hongera sana Blues.
wamebahatisha hawa.. mechi ilikuwa ni ya upande mmoja! spain ... wanapigwa mkono..! chezea barca!
Humble pie come to mind.....hahahahahahahahaha!!
kwa leo hongera za dhati darajani..Rev. Masa usikeshe na Invisible toa misamaha ya ban kusherehekea huu ushindi...hata sangria yangu leo haishuki vizuri, mtamtambua Messi huko Catalunya!!
Mmeamua kucheza 10-0-1 lakini msimamo wangu uko pale pale. Mtafungwa. Jana bahati ilikua upande wenu!
Naona tayari amepata uhakika wa kibaruaDi Mateo is genius ! Congrats to all Chelsea fans! Waiting for the sec leg at Nou Camp
Mkuu salama?! Kumbe na wewe unaweza hizi kamba?! Unaonaje kama mchezaji yeyote wa Barça angefanya zile komedi za drogba leo mngekuwa mmekauka makoo kwa lawama na majina ya kila namna, lkn kwa mchezaji wa klabu inayotoka kwa wapiga kelele uingereza, mko kimya tu!!! Hongereni Chel5 kwa ushindi wa jana...tayari mko fainali! Barça hamna kitu kabisa, uongo??!tatizo sio messi tatizo ni uefa official match ndio watakao fanya maamuzi na maamuzi hayo ni vizuri akawaulize milan kilicho wakuta pale camp no loose na utasikia drog in the red au ramiles kadi ya njano ilimradi wakufungeni ili mpate kuwa sema vibaya maana ndivyo walivyo zoea..:car:
Sio 4 tu, mi naziona goal 5 na kuendelea!
Mkuu salama?! Kumbe na wewe unaweza hizi kamba?! Unaonaje kama mchezaji yeyote wa Barça angefanya zile komedi za drogba leo mngekuwa mmekauka makoo kwa lawama na majina ya kila namna, lkn kwa mchezaji wa klabu inayotoka kwa wapiga kelele uingereza, mko kimya tu!!! Hongereni Chel5 kwa ushindi wa jana...tayari mko fainali! Barça hamna kitu kabisa, uongo??!
mpira siyo kugonga mwamba wala chenga nyingi...heri ya chelsea waliopata nafasi chache za kufunga lakini wakafanya kweli...game ya nou camp timu yeyote inaweza kutinga fainali...!Huu ndo ukweli. Zile zilizogonga mwamba wiki ijayo zinaingia kimiani. In the meantime shangilieni.
kwani wewe umeanza kuangalia mpira lini...drogba ame copy na ku paste komedi za barca nashangaa unamshangaa drogba...nyinyi wenye vilomolomo mtakuwa ni arsenal au manu(wake wa barcelona maana kila mkikutana nae mnapigwa bao za kutosha)...!Mkuu salama?! Kumbe na wewe unaweza hizi kamba?! Unaonaje kama mchezaji yeyote wa Barça angefanya zile komedi za drogba leo mngekuwa mmekauka makoo kwa lawama na majina ya kila namna, lkn kwa mchezaji wa klabu inayotoka kwa wapiga kelele uingereza, mko kimya tu!!! Hongereni Chel5 kwa ushindi wa jana...tayari mko fainali! Barça hamna kitu kabisa, uongo??!
Oosh, 10-0-1?