Watu wana cement history ,nyie mnaleta ujanja ujanjaHeshima ipo kwenye medali za ulaya. Ndo maana Pep haeleweki maana Epl hata Pellegrin alishashinda sana.
Tatizo ndg yangu corona ndio imewafanya akina Barca na Real Madrid wapoe, japo tungeshindan lakini hao wakishapata chenji watawahadaa wachezaji wetuKwa usajili huu naona tumetibu matatizo mengi sana tena kwa muda mrefu..
Namba 9 - werner + werner inamaana tuna uhakika wa miaka zaidi ya 7 mbele kuwa na watu hatari kabisa
Kai , Ziyech, Odoi, Pulisic, Kovacic. Hawa watu wanamda mrefu tuu wakutamba pale the blues
T.Silva el captain naamini atasaidia kuwajenga vizuri zouma pamoja christiansen..
The Blues tuna miaka zaidi ya 10 mbele kua kati ya timu bora duniani
[emoji828]Shevchenko flopped thereKwa usajili huu naona tumetibu matatizo mengi sana tena kwa muda mrefu..
Namba 9 - werner + werner inamaana tuna uhakika wa miaka zaidi ya 7 mbele kuwa na watu hatari kabisa
Kai , Ziyech, Odoi, Pulisic, Kovacic. Hawa watu wanamda mrefu tuu wakutamba pale the blues
T.Silva el captain naamini atasaidia kuwajenga vizuri zouma pamoja christiansen..
The Blues tuna miaka zaidi ya 10 mbele kua kati ya timu bora duniani
Wewe huyo BHA alikuweka goli 2 kwenye ligi ng'onda wewe.Mmemshindwa Brighton mbwa nyie
Unauliza matako cheltako? Subiri Arteta anaanza msimu full mwaka huu, pamoja na kuja katikati kabeba mataji mawili huku lampenalty akitoka na sifuri View attachment 1559320View attachment 1559321
Arsenyeto wakisoma hivi wanaanza kuwashwa. Hawajui sa ivi watajitetea kwa lipiChelsea msimu uliopita pamoja na forward butu na defense mbovu lakini imefanya vizuri sana.
Sasa wamekuja mafundi wa kutengeneza nafasi, ku-assists, kupiga mashuti golini na kufunga.
- Tumefunga mabao 69 ya tatu (nyuma ya Mancity 102 na Liverpool 85)
- Tumetengeneza nafasi 74 ya tatu (nyuma ya Mancity 108 na Liverpool 88 )
- Tumeshinda mechi 20 ya tatu (nyuma ya Liverpool 32 na Mancity 26 )
- Tumepiga pasi 23,244 ya tatu (nyuma ya Mancity 26,329 na Liverpool 23,872 )
- Tumepiga mashuti golini 625 ya pili nyuma ya Mancity 745
Ndio maana hao arsenyeto na mahawara zao wanaweweseka sana.
Tunaye Timo, Ziyech, Havertz na bado wako akina Pulisic, Mount, Mzee mzima Giroud, Kijana anayekuja kwa kasi Odoi bila kumsahau Tammy Abraham
Katikati wako Kante na Kova bila kumsahau Gilmour na Jo
Nyuma wapo akina Chilwell, Thiago na Zouma/Rudiger
Kweli watatuweza hao??????????
[emoji23][emoji23][emoji23] kama nawaona kina Aaron na dogo DullaWee subiri tu ligi ianze, na vichapo vikienea kila kona watatulia na visingizio juu mara nilibanwa kazini, mara nilikuwa nauguza, mara nilikuwa na project, mara bosi wangu alinibana sana nk
Fujo na kejeli mmeanzisha nyie wenyewe hasa mliposhinda FA leo hii wewe ndio unasema tumeanzisha sisi?Ndio maana nimesema anza na wanyumban kwako hao ndio wanakuja kuleta fujo na kejeri
Ndio maana unaona na Sisi tuna react ,
Vitoto hivyo haviwezi kukuelewa. Watakubali leo kesho utashangaa kinakuja kingine kinatuita Chelt... ***** hapo ndio anaanzisha ugomviNinyi hamzijui taratibu kuwa mnapaswa kutaarifu kwa Moderators wamtoe kabisa kwenye JF?
Sasa mnapata faida gani kujibizana na watu matusi ilihali hii ni sehemu ya burudani?
Tena isitoshe labda ni watu wazima mnaoongoza familia hata wasifu mbalimbali katika jamii.
Tafadhalini sana ndugu zangu nawaomba tuheshimiane ili tufurahie maisha kuliko matusi.
Mwanaume kwenda chumvini kawaida acha utoto wewe. Ndio maana mnagongewa wake zenu mnaanza kulialia.Unamfananisha na huyu ?View attachment 1559582
Natoaje hoja kwenye point less? Kuza uwezo wa kufikiri uje tujadiliAcha kuzunguka wewe, bado hujatoa hoja ya kueleweka!
Kwa mujibu wako wewe si unasema kuwa mimi nina uwezo mdogo wa kutoa hoja? Nakusikiliza wewe sasa hoja yako iko wapi??
Nyie chupi-za-buluu[emoji156] hamna kitu!!
Kama kama wewe mbabe nenda kabebe klabu bingwa na shirikisho. Mickey Mouses hata mimi ninayo na Wigan anayo so ukipata watalii wataishia kuangalia hayo makombe wakiuliza Klabu bingwa wafaulishe wakaangalie kwenye klabu ya Nottingham Forest wakihitaji Shirikisho uwaletee kwa blaza ako Chelsea au Man Utd.Watu wana cement history ,nyie mnaleta ujanja ujanja
Nan atakukumbuka ulimaliza top 4 , watu watakukumbuka kwa kubeba taji lolote
Watu wanafunga safari pande NNE za dunia kwenda kufanya tour kuona history za vilabu na kujione mataji .
Torres ana UEFA na EL the so called flop.[emoji828]Shevchenko flopped there
[emoji828]Robben flopped there[emoji12]
[emoji828]Morata flopped there[emoji847]
[emoji828]Torres flopped there[emoji28]
[emoji828]Falcao flopped there[emoji41]
[emoji828]Debryne flopped there[emoji2]
[emoji828]Salah flopped there[emoji85]
[emoji828]Kepa flopped there
And
[emoji3502]Ziyech will ... there[emoji23]
[emoji3502]Wemer will ... there[emoji1745]
[emoji3502]Sarr will ...there[emoji1787]
[emoji3502]Thiago will ... there[emoji849]
[emoji3502]Chiwell will .... there[emoji2297]
Which club is that[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Klabu bingwa anaongoza LiverpoolKama kama wewe mbabe nenda kabebe klabu bingwa na shirikisho. Mickey Mouses hata mimi ninayo na Wigan anayo so ukipata watalii wataishia kuangalia hayo makombe wakiuliza Klabu bingwa wafaulishe wakaangalie kwenye klabu ya Nottingham Forest wakihitaji Shirikisho uwaletee kwa blaza ako Chelsea au Man Utd.
Aliyekwambia kigezo cha mataji kinakufichia kuwa flop nan?Torres ana UEFA na EL the so called flop.
Kuongoza siyo shida shiba ipo kwenye kumantain muongozo. Ligi kuu una miaka mingapi mpaka sasa?Klabu bingwa anaongoza Liverpool
Carabao Liverpool
League title Manyua
FA cups Arsenal
Cheltenham mnaongoza nn?[emoji23][emoji23]
Ukilala upige usingizi mnono ukiikumbuka JF kumbatia hizi picha. View attachment 1559840Aliyekwambia kigezo cha mataji kinakufichia kuwa flop nan?
Utakuja kusema kepa sio flop kisa ana EL
Akili inakutuma wakiwa Arsenal hawakushinda mataji mengine?Ukilala upige usingizi mnono ukiikumbuka JF kumbatia hizi picha. View attachment 1559840View attachment 1559841