Nikikumbukuka Chelsea hii ulioimba inashuka daraja ,itakuwa ya kumi na saba ...matokeo yake miaka inapita hiyo ata champions league position arsenal imekuwa ndoto .Ngoja tuache muda useme ,maana unakuwaga mpole na mtulivuHawa kikos chao cha makaratasi kinawapa kiburi
Subiri waone moto kuanzia wiki ijayo
unalijua jukwaa weweSsa vitu kama hivyo post kwa jukwaaa lenu
Ninyi hamzijui taratibu kuwa mnapaswa kutaarifu kwa Moderators wamtoe kabisa kwenye JF?Ndio maana nimesema anza na wanyumban kwako hao ndio wanakuja kuleta fujo na kejeri
Ndio maana unaona na Sisi tuna react ,
Ligi ndogo, tukiwapa ukweli wanalialia[emoji1787]Hawa kikos chao cha makaratasi kinawapa kiburi
Subiri waone moto kuanzia wiki ijayo
Wewe waache kama wanashindwa kuonyana , tutaoneshana makaliLigi ndogo, tukiwapa ukweli wanalialia[emoji1787]
Ndg unapoteza muda, HIYO sababu wameokota njiani tu, wao wana jambo lingine kabisa, nI wivu ndio inawala ndio maana baada ya chelsea kufanya usajili wa nguvu na pesa wakaona wivu. Wakiangalia Liverpool, Man city, Chelsea, Man United wanaona hawana pa kutobokea top 4 mwakani. Jealousy is killing themNinyi hamzijui taratibu kuwa mnapaswa kutaarifu kwa Moderators wamtoe kabisa kwenye JF?
Sasa mnapata faida gani kujibizana na watu matusi ilihali hii ni sehemu ya burudani?
Tena isitoshe labda ni watu wazima mnaoongoza familia hata wasifu mbalimbali katika jamii.
Tafadhalini sana ndugu zangu nawaomba tuheshimiane ili tufurahie maisha kuliko matusi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subiri mtaendelea kulialia, kama matusi ndio yanawasaidia tutaoneshana makaliView attachment 1559514
Unamfananisha na huyu ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1559579
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Masikini huwezi ukampangia tajiri matumizi ya pesa yake.ndo maana mtu ambaye hana hela akikuona mwenye pesa unanunua hata soda atasema unatumia pesa vibaya,eti kisa tu kwasababu yeye hana hata hera yakununulia chunvi.Hii timu ya ajabu sana mnapigwa $100 kwa galasa lile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1559579
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ngoja tukaedit hapo kwenye makalio tuweke picha ya chelsii[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1559584
Daah bado kuna watu kama wewe hapa JF. Unadhihirisha uwezo wako mdogo wa kufikiri na kutoa hoja.Endelea hivyo hivyo kujidanganya.
Tukisema mmepigwa basi mmepigwa kweli.
We kama angekuwa mchezaji mzuri hao Man City, PSG, Bayern na Real Madrid walikuwa wapi mpaka wasimchukue.
Heshima ipo kwenye medali za ulaya. Ndo maana Pep haeleweki maana Epl hata Pellegrin alishashinda sana.Asa wewe kwa akili yako ya mbu unadhani kombe la Europa na kombe la FA lipi lina pesa nyingi?
Acha kuzunguka wewe, bado hujatoa hoja ya kueleweka!Daah bado kuna watu kama wewe hapa JF. Unadhihirisha uwezo wako mdogo wa kufikiri na kutoa hoja.
Loh loh [emoji23][emoji23][emoji23] unaaibisha madogo wenzako wa Arsenal. Kheri ungepiga kimya tu
Basi Pep asingechukua Carabao cup.. Au unasemaje mkuu?Heshima ipo kwenye medali za ulaya. Ndo maana Pep haeleweki maana Epl hata Pellegrin alishashinda sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1559681
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1559681