Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Walikufurahisha walipokubomoa pia? Ile 2-1
Ohoo sawa kijana
IMG_20200829_211816.jpg
 
yan sijawah kutegemea kumbe na wew unaakil za kitoto ivi yani gossip stories unazifany ziwe kwel aisee nmekushusha vyeo sana kuwa shabiki pinzan haimanishi uwe unaongea negative vitu visivyo na uthibitisho
Yani wew mzee mzm msomi kabisaa unaongea ujinga inabid ujifikrie mara mbil
Kwahiyo wewe shida yako nini? Lini nilikuomba unipandishe cheo?acha hizo kijana ,tusipangiane ,

Tutaoneshana makali ,
 
We kweli gaygooner yaan umeenda huko kuokota huko vihabari vyako vya udaku na kuleta hapa....kwan nani asiyejua hao terry na lampard ni straight ...kila MTU ana mke wake ...mpk terry aliwahi kupata kesi ya kuruka na mke wa teammate wake Wayne bridge mpk kesi ilifika mbali....does it sound gayish to you?View attachment 1556349
Kuwa na mke sio suala,Wengine paka wabustiwe mzee baba acha ushamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums871185623.jpg
 
Nyie mashabiki wa Chelsea kwann mnahangaika kuwajibu hawa matakataka.??? Inasikitisha sana Page karibia 10 ni matusi. Hapa tupo kujadili masuala ya klabu yetu si kushindana kwa mambo ya kipuuzi.

Achaneni nao wakipost upumbavu usihangaike ku reply we jifanye kama hujaona kitu, mnapo wajibu ndio mnawafanya waendelee kufanya ujinga wao.

Hao matakataka akili zao zimeyumba kwahiyo achaneni nayo.
Swain kwali we!
Yani leo we unajifanya mstaarabu?
Au ndio toto baya zuli kwa mama yake?
 
Swain kwali we!
Yani leo we unajifanya mstaarabu?
Au ndio toto baya zuli kwa mama yake?
We nyani ngebu turia dawa ikuingie jukwaa lenu limepoa kinoma kazi kuvamia nyuzi za mwenzenu.rudi kwenye Uzi wenu mkajadili mambo ya msingi ya klabu yenu
 
Nyie mashabiki wa Chelsea kwann mnahangaika kuwajibu hawa matakataka.??? Inasikitisha sana Page karibia 10 ni matusi. Hapa tupo kujadili masuala ya klabu yetu si kushindana kwa mambo ya kipuuzi.

Achaneni nao wakipost upumbavu usihangaike ku reply we jifanye kama hujaona kitu, mnapo wajibu ndio mnawafanya waendelee kufanya ujinga wao.

Hao matakataka akili zao zimeyumba kwahiyo achaneni nayo.
Wewe ndio muharibufu wa nyuzi za watu,

Leo unalalamika , jifunze kuwa mstaarabu nakwambia ,

Watu tunataniana lkn sio kuketeana matusi ,
 
Nyie mashabiki wa Chelsea kwann mnahangaika kuwajibu hawa matakataka.??? Inasikitisha sana Page karibia 10 ni matusi. Hapa tupo kujadili masuala ya klabu yetu si kushindana kwa mambo ya kipuuzi.

Achaneni nao wakipost upumbavu usihangaike ku reply we jifanye kama hujaona kitu, mnapo wajibu ndio mnawafanya waendelee kufanya ujinga wao.

Hao matakataka akili zao zimeyumba kwahiyo achaneni nayo.
Hii nayo ni takataka tu.
 
Simple sana unaignore wajinga wajinga wote wanaotukana na kuleta hoja za kijinga instead ya kubishana kwa hoja watu wanaleta matusi na most wanaonekana ni jobless
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Takataka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom