Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wengine wanasema Havertz bado hajapima kwa sababu yupo na Timu ya Ujerumani na leo wanashuka dimbani, ila wakishacheza atakuja London moja kwa moja

BREAKING NEWS

Chelsea agreed a deal worth £89m to sign Kai Havertz from Bayer Leverkusen yesterday, according to Sky in Germany.

Havertz hasn’t had medical yet. He’s with Germany squad as they prepare to face Spain tonight and Switzerland on Sunday.

Meanwhile, Bayer Leverkusen want Chelsea centre-back Malang Sarr on loan.
 
New Nicolas Pepe is coming [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengine wanasema Havertz bado hajapima kwa sababu yupo na Timu ya Ujerumani na leo wanashuka dimbani, ila wakishacheza atakuja London moja kwa moja

BREAKING NEWS

Chelsea agreed a deal worth £89m to sign Kai Havertz from Bayer Leverkusen yesterday, according to Sky in Germany.

Havertz hasn’t had medical yet. He’s with Germany squad as they prepare to face Spain tonight and Switzerland on Sunday.

Meanwhile, Bayer Leverkusen want Chelsea centre-back Malang Sarr on loan.
Ambaruti hizi habari umezipata kwa juma LOkoLe [emoji23] [emoji23]
 
Chelsea bado ni timu ndogo ,mnajitutumua tu,

Chelsea sio bigger ,kocha wa Pulisic anaamini Dogo soon atapata timu kubwa [emoji848][emoji848]
IMG_20200904_082922_975.JPG
 
Nenda ka google klabu kubwa duniani walau top ten.

Halafu elewa neno "an even bigger"
Thiago kasema sababu mojawapo iliyomfanya aje Chelsea ni kwa sababu Chelsea ni mojawapo ya timu kubwa 10 duniani. Nadhani Arsenal kama kawaida yao kupenda vya free walijaribu wakagota mwamba kwa sababu ni katimu kadogo maskini kwa sasa kischoweza kununua wala kuwalipa vizuri wachezaji wake. Kama watabisha niwaletee data za mishahara Arsenal VS Chelsea
 
Mzee baba huna haja kujisumbua kuwaletea data. Hapo ulipogonga panatoeha sana kurudisha fahamu zao juu ya hilo swala.
 
Muda utasema ,kwa huyo kai mjerumani mmepigwa Sana !!! Bado ndo anakua , hajaprove yeye Ni Bora kiasi hicho mpaka mnaweweseka kutoa hela zote hizo ! Mtu walau ashaini misimu minne au zaidi ! Naitunza hii comment ! Walau mmngemnunua kwa 50 kushuka chini !
 
Thiago kasema sababu mojawapo iliyomfanya aje Chelsea ni kwa sababu Chelsea ni mojawapo ya timu kubwa 10 duniani. Nadhani Arsenal kama kawaida yao kupenda vya free walijaribu wakagota mwamba kwa sababu ni katimu kadogo maskini kwa sasa kischoweza kununua wala kuwalipa vizuri wachezaji wake. Kama watabisha niwaletee data za mishahara Arsenal VS Chelsea
Mnalishana ujinga[emoji23][emoji23] nani kakwambia Gunners wanamtaka kikongwe Thiago? Hivi tuache kuchukua mkoba mkataba gabriel tuchukue hiy{ takataka hhahhahahaahahhaha
 
Muda utasema ,kwa huyo kai mjerumani mmepigwa Sana !!! Bado ndo anakua , hajaprove yeye Ni Bora kiasi hicho mpaka mnaweweseka kutoa hela zote hizo ! Mtu walau ashaini misimu minne au zaidi ! Naitunza hii comment ! Walau mmngemnunua kwa 50 kushuka chini !
Acha kupigapiga kelele kama mrevi kama Chelsea wamepigwa wewe inakuhusu nini nyinyi mnauhakika gani kuwa wachezaji wenu mliosajili hawataflop.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom