Hawa si timu yao imeanza 2005Dah hadi kina mama wapo juu yao
Hebu tuwekee European Trophies mlizoshinda maana mnatujazia tu Mickey Mouse Cups ambazo kila timu inashinda.Wewe kenge tulia hivo hivo ,
Hata Timu ya wanawake ya Arsenal inawazidi, unapayuka nini hapaView attachment 1555933
Yan kwa huu ututu mnaofanya ni dhahiri shahiri mmesoma tu history ya Arsenal mkaanza kuja kutusumbua huku.Wewe kenge ,tupo Arsenal kitambo, hata kabla Chelsea haijaanzishwa mwaka 2005
View attachment 1555934
Unazungumzia takwimu za Mickey Mouse? Au takwimu gani?Unabishana na takwimu?
Be humble mkuu
1971, 1998 & 1999 Chelsea imeshinda European Cups kipindi hicho sidhan kama baadhi yenu mlikua mmezaliwa. Leo hii kuna Ng'ombe inakaza mshipa wa matako kusema Chelsea imeanzishwa mwaka 2005. Utakua timamu kweli wewe?Hawa si timu yao imeanza 2005
Wewe kenge ,tupo Arsenal kitambo, hata kabla Chelsea haijaanzishwa mwaka 2005
View attachment 1555934
Hawa si timu yao imeanza 2005
Ni sawa na kipofu kaona mwezi ataimba hallelujah sana.Ukishaona mtu anafurahia mkia wa mbuzi, jua huyo ni fukara wa kutupwa
Ngoja tuone wenyewe chem IPI itaclick kati ya rudiger n thiago au zouma na thiago......Confirmed Line Up against Arsenal Boxing Day, wao wenyewe waseme wataoa wapi?
Pulisic --------- Timo --------- Ziyech
Kovacic --------- Kante --------- Havertz
Chilwell --------- Rudiger --------- Silva --------- Azpilicueta
Eduardo Mendy
Saini kumi za arsenal ni saini moja ya Chelsea..Kwan hapa Jf ndugu Ollachuga Oc hajamtangaza tu?[emoji23][emoji23]
Auba anakubalije kucheza kwenye club kama hii? Anautia aibu uafrica wake.
Arteta huyu anavaa hereni?Kwa Akili yako Unadhan Arteta angeanza toka mwanzo mngepona nyie Chelshit?