Beki mstafi na sokratis kwann hata lingard asifunge sembuse foward kama hazad na giroud[emoji38][emoji38] Aisee Cech na Emery walikuwa ma agents wa Chelsea wametumwa kutuangamiza. Kipa dakika chache tu kwetu amekuja kufungwa magoli mengi zaidi kuliko career yake nzima. Chelsea wanatangaza kabisa kuwa Cech atarudi kuwa kiongozi Chelsea baada ya Europa Final alafu Emery anamweka golini [emoji38][emoji38]. Huyiu Willian hata akiwa spy angalau ni outfield player hawezi kutufungisha sana tusimshtukie. [emoji38]
“It is like when Zlatan came into Manchester United, that was for now. You cannot always buy players for the future and you cannot always just sign potential. You need players in there that are good now who the younger players can learn off. That is a huge part of it.
“I think he would be fantastic. A wealth of experience, a quality player and he clearly looks after himself. I think he would be a superb addition to Chelsea.”
Plus addonsWamesema 72 mbona..
Uajent sehemu ya mchezo, mbona nyie mlikubali kikengekenge hivyo na hakutosha mkamchukua Luiz na bado Willian, Kesho tukimuachia JO mtamkimbilia. Mnapenda san makombo na sasa mnavimbiwa😆😆 Aisee Cech na Emery walikuwa ma agents wa Chelsea wametumwa kutuangamiza. Kipa dakika chache tu kwetu amekuja kufungwa magoli mengi zaidi kuliko career yake nzima. Chelsea wanatangaza kabisa kuwa Cech atarudi kuwa kiongozi Chelsea baada ya Europa Final alafu Emery anamweka golini 😆😆. Huyiu Willian hata akiwa spy angalau ni outfield player hawezi kutufungisha sana tusimshtukie. 😆
lembu Huyo mchezaji simkubali kabisa Bora tu alivyoumia kwanini Chelsea isimchukue Alex telles kuliko huyo jamaaDeal la Chilwell inaweza ikafa kwa sababu anaumwa " heel injury ". Anaweza akakosa mechi za mwanzo. Leo ataonana na mshauri wake wa maswala ya fitness ili kupata ukweli kwa sababu hakutakuwa na mkataba wowote utakaosaini mhusika akiwa ni mgonjwa
Wamesema Ni 80 ila Kama Chelsea itachukuwa ubingwa wowote tutawapa 10Wamesema 72 mbona..
Ben chilwell Hana tofauti sana na Alonso kiufupi Alonso Ni ben chillwel mwenye Kasi.Cha muhimu atue kwanza Thiago Silva, awe kiranja wa mabeki, hao wengine watafuata maelekezo.
Kuhusu LB mi nataka aje mchezaji yoyote mbunifu kwenye kukaba na kushambulia, mwenye nguvu na kasi ya kupanda na kushuka, ili konokono Alonso abaki sub
Thiago Silva Kizee miaka 36Uajent sehemu ya mchezo, mbona nyie mlikubali kikengekenge hivyo na hakutosha mkamchukua Luiz na bado Willian, Kesho tukimuachia JO mtamkimbilia. Mnapenda san makombo na sasa mnavimbiwa
[emoji23][emoji23] huu ndio utetezi pekee uliobaki kwa kifupi naweza sema MTETEZI YU HAI ndio sababu yenu.Kusanya mataji yako yote mpaka ya daraja la pili kule kisha njoo tupige hesabu, sio unadeveradevera hapa
Hizi habari Arsenal na na shoga zao waje hapa wazisome. Waseme toka lini wamfanya sajili za maana kama timu kubwa zinavyotakiwa kufanya. Since wamemnunua Auba ni mchezaji gani mwingine world class wamemnunua?BREAKING NEWS: Chelsea FINALLY agree £90m Kai Havertz deal with Bayer Leverkusen to bring the midfielder to London this week as they prepare final paperwork for their new record signing
View attachment 1546762
- Chelsea have finally agreed a fee with Bayer Leverkusen for Kai Havertz
- The German is on the verge of joining Chelsea in a deal worth £90m
- Havertz is set to fly to London this week to conclude the finer details
- He is expected to put pen to paper on a five-year contract at Stamford Bridge
Kule wanasajili magarasa hata stats hawaleti kutwa utasikia next week next week nyingiHizi habari Arsenal na na shoga zao waje hapa wazisome. Waseme toka lini wamfanya sajili za maana kama timu kubwa zinavyotakiwa kufanya. Since wamemnunua Auba ni mchezaji gani mwingine world class wamemnunua?
Hapo ndio tutajua maana ya timu kubwa na ndogo.
Wewe kweli kiazi , Kai ni world class tayari au ni potential ?Hizi habari Arsenal na na shoga zao waje hapa wazisome. Waseme toka lini wamfanya sajili za maana kama timu kubwa zinavyotakiwa kufanya. Since wamemnunua Auba ni mchezaji gani mwingine world class wamemnunua?
Hapo ndio tutajua maana ya timu kubwa na ndogo.
Garasa kama hili?Kule wanasajili magarasa hata stats hawaleti kutwa utasikia next week next week nyingi