We jamaa kwani unadhani usajili wa Ziyech ulikua kwa ajili gani? Unadhani hawakujua utumbo wakeReplace ya Willian ni nani?
Huna jipya,Hatujadharau uhamisho, kilichofanya nicheke ni hii statement aliyosema "I think this club deserves to shine again and I want to be a part of this project" huoni kama ni dharau hiyo au anaashiria ametoka Club ameenda kwenye yenye historia ambayo iliwika kitambo.
Halafu swala la kutufunga mkachukua kombe mjadala ulishaisha kitambo ile mechi ilimalizwa na Antony Tylor.
Umeumuka[emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa kwani unadhani usajili wa Ziyech ulikua kwa ajili gani? Unadhani hawakujua utumbo wake
Chapombe BarkleyReplace ya Willian ni nani?
[emoji23][emoji23]Huyu muoka mikate amefanya nn tena
Camera zimemnasa akisaidiwa kutembea baada ya kupiga ulabu.Huyu muoka mikate amefanya nn tena
Wewe nguchiro ulitegemea William tungekaa naye Chelsea milele.Nyie kuku mtamkumbuka willian,
Zyech hawezi kuwa kwenye form kama alivokuwa Ajax
Soon mtaanza kulialia
Wewe ni mtume auNyie kuku mtamkumbuka willian,
Zyech hawezi kuwa kwenye form kama alivokuwa Ajax
Soon mtaanza kulialia
7 mmejitahidi! [emoji2089][emoji2089][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu wana Chelsea wenzangu popote mlipo piga kifua sema Ahsante Mungu haya mambo anayofanyiwa Barcelona nahisi sisi tumejitahidi sana. Barca anashukuru mungu hizi game hazina home and away.
Piga kifua popote ulipo tumefanya kazi kubwa asee
Ndio mwalimu wa kiswahili7 mmejitahidi! [emoji2089][emoji2089][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]7 mmejitahidi! [emoji2089][emoji2089][emoji23][emoji23][emoji23]