Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mbona zipo tetesi za Chelsea kutuma offer kwa baadhi ya club MF. José gimenez(atletico)
John stones, declan rice .
John stones(defender asiyejua kudefend) kuweni serious si bora mmuchukue smalling.
 
John Terry highest scoring defender in PL history. Frank Lampard highest scoring midfielder in PL history. Didier Drogba highest scoring African player in PL & CL history. The three biggest legends of Chelsea football club..

1597187895821.png
 
Tujifunze kwa Liverpool ya 2016-18
Timu ispokamilika hakuna kitu hata kama tumefanya usajili mzuri wa akina Ziyech, Werner na Haverts
Kama hatutasajili GK, CB la LB world class na kumuweka creative midfielder hapo katikati timu hii itakuwa ya kupambania top 4 tu
Liverpool walipokuwa wanawategemea akina Karius, Moreno na Lovren walikuwa wanabamizwa ile mbaya, wao wakifunga 4 huku nyuma wanaachia 5 au 6 AU mmeshasahau?
Tukiwa na akina Werner, Ziyech Pulisic na Havertz tuna uhakika wa kufunga timu yeyote hiyo sina shaka ila "tusipoziba ufa tutajenga ukuta"
Tusipoziba matobo ya kwenye GK, CB, LB na katikati tutapokea vipigo, yaani akina werner na wenzake wakifunga 4 sisi tutafungwa 5 au 6 na mwisho wa ligi tutakuwa tunapiga vigelegele sio kwa kuchukua ubingwa bali kumaliza top 4
 
Ni kweli kabisaa....haswa golini na beki ya kati
 
Mpitie hapa Cheltako...karma inawatesa Sana [emoji23][emoji23]
IMG_20200813_183633_964.jpg
 
Mpo Cheltako au mnabwabwaja bwabwaja sababu ni great player [emoji3533][emoji3533]
IMG-20200813-WA0057.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom