Sasa wewe na wachezaji wako wa maana una nini?Hujiskii vibaya unamwaga pesa afu unakalishwa na hao unaowaita wachovu[emoji3][emoji3]Furahieni walau kikombe msimu huu maana mashabiki Wa arse8 mshaanza kupata mfadhaiko msimu huu nafac ya 8 ..na bosi wenu alivyobahili mtapata wachezaji Wa mafungu...au zile biashara za kibahiri unapeleka mchezaji mmoja na pesa kidunchu ndo mpate mchezaji mnayemtaka...hongereni timu kubwa London mpk sahv mnalipa mdogomdogo ile pesa ya kipepe haaahaaaa ama kweli arse8 hakika msimu ujao ubingwa wenu
Mlibebwa wazi wazi katika game ile ila kwa kuwa ushabiki wa cheltako umekukaa kooni unaamua kukakamaza fuvuMkuu heshima yako ni kubwa sana hapa usitake kujivunuia kwa vitu vya kijinga. Ile game ya Ajax kila mtu aliiona sijui unachoandika hapa unakitoa wapi?
SMH!! unaanza kureflect akili za Arse8 fans.
Haya nyinyi ni mabingwa basiUtakuwa mwana manView attachment 1524808
Giroud kaondoka liniWewe pia huna tofauti na hao mashabiki wa Arsenane. Toka aondoke Giroud wamechukua makombe mangapi na Gitoud kachukua mangapi?
Endeleeni kukaza vichwa wewe na marogo zako.
Giroud kaondoka lini
SawaMlibebwa wazi wazi katika game ile ila kwa kuwa ushabiki wa cheltako umekukaa kooni unaamua kukakamaza fuvu
[emoji23][emoji23]Typing error acheni ufala. Yan mnatumia kila chance kutafuta mistakes.Gitoud = Giroud
Marogo = Madogo
Mkilewa msiwe mnaingia JF mnajidhalilisha tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ollachuga Oc unamuona mjinga kumpa mkewe amshikie simu[emoji23][emoji23]
Anyway nakumbuka fainali ya FA 2017 tulicheza na nyinyi pia na tuliwafunga 2 - 1 na sikumbuki Giroud kucheza ile game ndiyo maana nimeuliza kaondoka lini.
Aliondoka msimu wa 2017/18 usajili wa January tulicheza na Man Utd fainali tukawapiga akabeba kombe. Tukaja kucheza fainali ya EL mwaka jana akabeba mbele yenu.Anyway nakumbuka fainali ya FA 2017 tulicheza na nyinyi pia na tuliwafunga 2 - 1 na sikumbuki Giroud kucheza ile game ndiyo maana nimeuliza kaondoka lini.
Fainali ya kiboya sana ile. Mlitupiga goli la mapema timu ikapoteana. Jana mlivyotupiga la mapema nikakumbuka ile fainali nikawaza au na leo tena?Aliondoka msimu wa 2017/18 usajili wa January tulicheza na Man Utd fainali tukawapiga akabeba kombe. Tukaja kucheza fainali ya EL mwaka jana akabeba mbele yenu.
Tatizo mlijiaminisha sana.Wapumbavu tu ndio watashangalia ushindi wa leo pamoja na kubebwa waziwazi kama vile tuko bongo
Nini kinachokufanya useme hivyo, Chelsea tulikuwa tumchukue huyo Januari, END of storyukisoma haraka hapa unaweza ukahisi jamaa ni shabiki wa Barcelona au Madrid.
Uwezo wa kuwachukua wote tunao na mnajua hilo ila mnajitoa ufahamu tuMnamtaka Auba? Hahahah Werner hajacheza na mshajua kua ni kiazi?
Ujue mi unanichekesha unavyoandika kwa hasira na uchunguUwezo wa kuwachukua wote tunao na mnajua hilo ila mnajitoa ufahamu tu
As a Man City fan, it seems that the FA always wanted Arsenal to win the cup final and get into Europe at the expense of less fashionable Wolves. There were several refereeing decisons which went against Chelsea by Taylor, whose record is abysmal. Why no check of the alleged handball outside the box by the Arsenal goalie was one such decision. The penalty and the red card were also 50:50 but all three went the way of Arsenal.
I do not support any of these teams but the referee was very biased towards arsenal . Why didn't they check VAR over the sending off it would've taken 30 seconds ? Arsenal now tagged with cheating and diving
Kweli kabisa..kwa mtu makini kipindi Cha kwa kilionyesha tunaelekea kufungwa..yaani hakuna mchezaji hata mmoja aliyeweza ku dribble kuwapita wachezaji angalau wawili wa arsenal kipindi Cha kwanza..Pamoja na kwamba Arsenal walicheza 12 sisi tukacheza 10, hata hivyo wachezaji walibadilika ghafla baada ya 20 minutes hivi na kuanza kucheza slow zikiambatana na rafu nyingi. Yaani tulicheza kama manyumbu vile kwenye semi-final