juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Ok ile scene ya Pullisic akiwa anaambaa nje ya 18 halafu Ceballos akataka kwenda kuchukua mpira kisha akavutwa ili asiende unaikumbuka?Unachozungumzia ni scene tofauti kabisa wala hujaelewa kitu.
Hahaha ikiwezekana na??? Mbona mna kipa mzuri tu Kepa. Kwani hamumtaki tena? Mna kipa mcha Mungu Caballero.Mechi ya jana ishapita tugange yajayo tuendelee kusuka kikosi kwa ajili ya msim ujao
Wale wanaopinga usajili wa kai endeleeni kupinga ukweli ninkwmba tunamuhitaji kai
Hatuna kiungo ambae ni creative na wale ambao mnahisi lamp kwa nini asajili beki ndio kwanza ndio wikinya 1 imeisha tangu dirisha la usajili lifunguliwe na linaenda mpaka mwezi waa kumi mwanzoni
Stil tutasajili beki ikiwezekana na kipa
Mechi ya jana ishapita tugange yajayo tuendelee kusuka kikosi kwa ajili ya msim ujao
Labda musuke Nywele
Dah!Mechi ya jana ishapita tugange yajayo tuendelee kusuka kikosi kwa ajili ya msim ujao
Wale wanaopinga usajili wa kai endeleeni kupinga ukweli ninkwmba tunamuhitaji kai
Hatuna kiungo ambae ni creative na wale ambao mnahisi lamp kwa nini asajili beki ndio kwanza ndio wikinya 1 imeisha tangu dirisha la usajili lifunguliwe na linaenda mpaka mwezi waa kumi mwanzoni
Stil tutasajili beki ikiwezekana na kipa
Utakuwa mwana manBBC wamethibitisha mikono ya Martinez ilikuwa ndani ya box. Hakuna dhulma hapo!View attachment 1524602
Huna uwezo huo,wewe size yako Giroud tu[emoji3][emoji3][emoji3]Hiyo ya Bavarian wala haiko kwenye hesabu zetu, tutaenda kukamilisha ratiba na focus yetu ni kufanya mauaji next season. Kwanza huyo Auba tukitaka tunamchukua kama tulivyomkosakosa Januari,
Mkuu heshima yako ni kubwa sana hapa usitake kujivunuia kwa vitu vya kijinga. Ile game ya Ajax kila mtu aliiona sijui unachoandika hapa unakitoa wapi?Chelsea wakiwa UEFA wakakutana na Ajax. Wakapigiwa mpira wakazidiwa kila angle kisha zikaanza kutembea red kwa Ajax.
Hahaha na hakuna aliyekuja kusema Ajax ilionewa. Red zilikua za ajabu ajabu. Zilikua red ngapi? 2 au 4?
How time flies. Leo Kovacic kala yellow mbili eti watu wanakwambia yeye ndiyo kakanyagwa, kwani kabla ya kumkanyaga mtu ilikuaje akaenda huku amenyanyua six meno yamelenga mguu wa Xhaka?
We all know huwezi kuzuia mtu kwa kumletea zote (sina lugha nzuri hapa ila aliyecheza mpira anaelewa kwenye rafu 'zote' ni nini) kwakua ukimpata unakula straight red ukimkosa unakula yellow. Kamkosa kala yellow na mwanzo alikua na yellow pia.
Mlitaka iweje?
Furahieni walau kikombe msimu huu maana mashabiki Wa arse8 mshaanza kupata mfadhaiko msimu huu nafac ya 8 ..na bosi wenu alivyobahili mtapata wachezaji Wa mafungu...au zile biashara za kibahiri unapeleka mchezaji mmoja na pesa kidunchu ndo mpate mchezaji mnayemtaka...hongereni timu kubwa London mpk sahv mnalipa mdogomdogo ile pesa ya kipepe haaahaaaa ama kweli arse8 hakika msimu ujao ubingwa wenuMnatakiwa mshukuru ile red card sio kulaumu,ilitufanya tupunguze kasi vinginevyo mngekula nyingi tu.
Nyie watoto wadogo tunawaweza kivyovyote vile
Arteta kushindana na Lampard ni ubadhirifu wa akili[emoji3][emoji3]
Red army[emoji837][emoji837][emoji837]
Arsenal fans mnanishangaza sana sijui ni hamjui au mnakaza vichwa tu. Huyo Giroud mmemuweka hapo na wakati toka aondoke ndio kombe la kwanza mnachukua na yeye keshabeba mawili akiwa kwa Chelsea. Mnafikiria sawasawa kweli?
Si iliwekwa faulo ile?Ok ile scene ya Pullisic akiwa anaambaa nje ya 18 halafu Ceballos akataka kwenda kuchukua mpira kisha akavutwa ili asiende unaikumbuka?
Wewe pia huna tofauti na hao mashabiki wa Arsenane. Toka aondoke Giroud wamechukua makombe mangapi na Gitoud kachukua mangapi?Wakuu vipi zile Stori zetu mbili leo zipo?
1) Chelsea kila msimu lazima imalize na Kombe.
2) Giroud ana nyota ya kutembea na Makombe.
View attachment 1524754
DullyJr
Hivi vishabiki vya hiki kitimu cha juzi hawana tofauti na Gwambina fc[emoji23][emoji23][emoji23], hawaijui timu yao kabisa vinadandia tu.Nimcheka hatari eti Fransisco Zola, mwambie watu tuliiona Chelsea ya Ruud Gullit na bado tukawaona ni utopolo tu
Hawajielewagi hawa.Mmesahau red card ya Jorginho Emirates refa akakausha,mkashinda 2 -1 mpaka refa aliye chezesha akapewa adhabu na kushangilia mkashangilia huku mkisema "refa ni binadamu.." Sasa jana sijui refa alikuwa tembo ndio mpira huo kaka,jipange tu kwa ajili ya kipigo kingine na Bayern.
ukisoma haraka hapa unaweza ukahisi jamaa ni shabiki wa Barcelona au Madrid.Hiyo ya Bavarian wala haiko kwenye hesabu zetu, tutaenda kukamilisha ratiba na focus yetu ni kufanya mauaji next season. Kwanza huyo Auba tukitaka tunamchukua kama tulivyomkosakosa Januari,
Leo hizo zinawekwa kapuni, watakuja na yao ya ndani ya miaka 10[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu vipi zile Stori zetu mbili leo zipo?
1) Chelsea kila msimu lazima imalize na Kombe.
2) Giroud ana nyota ya kutembea na Makombe.
View attachment 1524754
DullyJr
Wewe pia huna tofauti na hao mashabiki wa Arsenane. Toka aondoke Giroud wamechukua makombe mangapi na Gitoud kachukua mangapi?
Endeleeni kukaza vichwa wewe na marogo zako.