Huu ndo ukweli mkuu,cjui kwanin watu hawauoni..Kweli mpira una dunda, lakini kale ka-Messi nomaa.
Fainali Barca vs Madrid, na ubingwa unaenda Madrid mwaka huu.
swali la mleta mada halina mashiko...Siku uongoza wa Platini ukitoka ndipo kutakuwa na maamuzi ya halali kwa timu itakayocheza na hao wap.uuzi kwa sasa itakuwa vigumu wana kwa chelsea kutendewa haki katika maamuzi makubwa kama penalties, red cards disallowed goals, na yale madogo ambayo si rahisi watu kunotice kama mwamuzi kuharibu moves za timu kwa filimbi zisokuwa na maana. Mpaka sasa Ovebro, Bussaca, Stark na wengine wote waliotumika kuibeba farselona hawajachukuliwa hatua yoyote na UEFA
Siku uongoza wa Platini ukitoka ndipo kutakuwa na maamuzi ya halali kwa timu itakayocheza na hao wap.uuzi kwa sasa itakuwa vigumu wana kwa chelsea kutendewa haki katika maamuzi makubwa kama penalties, red cards disallowed goals, na yale madogo ambayo si rahisi watu kunotice kama mwamuzi kuharibu moves za timu kwa filimbi zisokuwa na maana. Mpaka sasa Ovebro, Bussaca, Stark na wengine wote waliotumika kuibeba farselona hawajachukuliwa hatua yoyote na UEFA
ukweli ni kwamba barca ni timu nzuri zaidi kuliko chelsea...hivyo basi inapewa uwezekano mkubwa wa kuifunga chelsea.
......pamoja na mvua hizi za hapa na pale, vyura, senene na hata majongoo na konokono wamegoma kutoka
mashinoni, mnh!....
Nasubiria 1st leg mtapoifunga Baercelona, ....hehehe...
Waungwana...
Hivi leo tuna mechi na timu gani vile?:tongue:
Wigan mkuu...ama unatania...lol!
Di Mateo must keep the job....:heh: