Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kati ya harvertz na ziyech mmoja atakuwa Kama Nicolas Pepe muda utaongea
 
Tunafanya biashara nzuri sanaView attachment 1519770
Mkuu Huyu Kai amecost bei gani?

Huezi sema biashara nzuri mpaka uliowasajiri waprove viwango vyao katika ligi walau msimu 1, [emoji23][emoji23]

Hiyo ni sawa na ulivyouza Cortous na kumnunua Kepa kisha useme ni biashara nzuri[emoji23],kisha mnakuja kulalamika mmepigwa.

Binafsi mimi ni mshabiki mkubwa wa Hakim, hivyo kushine kwake ni furaha yangu
 
KAMA VAR ISINGEONEA EPL EPL TABLE INGEKUWA HIVI

​
 
KAMA VAR ISINGEONEA EPL EPL TABLE INGEKUWA HIVI

View attachment 1520072
​
Mbona hiyo VAR ni kama imei favour chelshit! Ina maana timu zingine hazionewi, chelshit ndiyo inaonewa? Mashabiki wa hili li timu mnaugua, man utd kuchukua nafasi ya 3, wakati tulishawatahadharisha mapema kuwa tunawatoa hapo. Je! Tungechukua ubingwa ingekuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujanielewa, maana yangu ilikuwa hivi, Ni mapema sana kusema kwamba biashara iliyofanyika ni nzuri/yenye faida au mbaya/yenye hasara,
Nikatoa mfano kwa Kepa, lakini pia wapo wengi mf. Bakayoko, Drinkwater, nk mwenyewe ulisema kuwa mashine imesaga kisado lakini hili uliligundua baada ya msimu kuisha, au katikati ya msimu,

Mfano Luca Jovic madrid wanahesabu hasara, maana 50m sio mchezo kuiweka bench
Coutinho, Dembele, Grizman barca wanasemaje now,

Biashara ni kutake risk+muda=matokeo

Hapo umetake risk then ukarukia results direct bila kuwa na subira{muda}


Usajili ni kamari, kama unavyobet vile matarajio yako ni kupiga pesa lakini kuna kipengele cha subira(muda) usikisahau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tumesajili Nicolas lakini mpaka sasa bado tupo katika kipengele cha muda, hatujapata matokeo kama ni hasara/faida kutokana na mazingira yaliyopo kwasasa.
 
Nawewe siku hizi umeanza tabia za ajabuajabu utadhani shabiki wa Asernal,mbona zamani hukuwa hivi.
 
Man city +7
Westaham +6
Wolves +5
Chelsea +1
Man U -1

Nani hapo kapendelewa, au kwa sababu ninyi ndio mnapendelewa na penalti za kupewa
 
The guy going to be next Alvaro Morata [emoji23][emoji23]
 
Jumamosi FA twende na ulinzi shirikishi 3-4-3

.........PULISIC...GIROUD...WILLAN...........


ALONSO....KOVACIC.....KANTE.....JAMES


.......RUDGER.... ZOUMA.....AZIPUCUETA...


.......................CABALLERO....................
Huwezi kutoka salama hapa mkuu, [emoji23][emoji23][emoji23]

Auba Laca Pepe



Tierney Xhaka Ceballos Niles



Holding Luiz Mustafi



Martinez






Katafute maturubai kabisa sina cha kupoteza.
 
Ongeza na Palasic=18M
 
Pia pedro sio mbaya anayo energy ya kutosha amepumzika muda mrefu, yupo sharp, ana njaa ya magoli, halitakuwa chaguo baya
Unaangaliaga mazoezi ya Chelsea? Jamaa anaperform vizuri sijui kwanini Lampard ampangagi? nashangaa kwanini anamuamini odoi kuliko Pedro.Pedro Ni best finisher mzuri lakini pia ana Kasi na energy ya mchezo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…