Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Historia muhimu kujua tulipotoka ,ww ukiangalia history utaishia kuwa dissapointed na relegation[emoji3][emoji3][emoji3]
πŸ˜„πŸ˜„, disappointed na relegation umejichanganya tena. Unafuata historia ambapo hata uefa na ueropa hauna, Je akina Ac Milan wao waongee Nini kuhusu historia!?
 
Timu kubwa London haiwezi maliza nafasi ya 10, hizo ni zenu nyie Cheltako[emoji3][emoji3][emoji3]

#Arsenal london [emoji837][emoji837][emoji837]
We dada wanaume wanne tumekaa meza moja tunajadili namna ya kufanya maandalizi ya kucheza uefa champions league wewe unajipitisha mbele yetu nakanga moja,shika adabu yako.
 
We dada wanaume wanne tumekaa meza moja tunajadili namna ya kufanya maandalizi ya kucheza uefa champions league wewe unajipitisha mbele yetu nakanga moja,shika adabu yako.
We cheltako nawe unajiita mwanaume [emoji3][emoji3]

Coyg [emoji837]
 
Dogo simply hujielewi na haunielewi ht nachosema, sio kosa lako najua mpira umeujua 2013 hiyo ndio sifa yenu kubwa hii timu
Hata Kama nimeanza kufuatilia soka 2013 huwezi kunidanganya chochote na arsenal yako mbovu hiyo.

Mara ngapi unaaibisha London!?, uefa unapi aggregate ya 10-2 na Bayern Munich halafu unasema oooh! London is red, man u anakupiga 8-0 Chelsea anakupiga 6-0 halafu unasema historiaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.
 
Sure mkuu, pale mtu legelege hafungi
Hadi sasa Kacheza game 10 ana goal 8.Kipi Cha kujifunza kwa Giroud kipindi kirefu alikuwa apangwi na Lampard hata sub awekwi alikuwa Ni chaguo la tatu mpaka akataka kuuzwa baada ya kupewa nafasi kwenye game dhidi ya Tottenham aliyopiga goal tokea hapo akawa first regular.
 
Top 10 England Club of all time in European Glory​

Club nameUEFA CupsUEFA Supper cupsTotal
1) Liverpool FC10414
2) Manchester United628
3) Chelsea FC516
4) Tottenham Hotspurs303
5) Aston Villa213
6) Nottingham Forest213
7) Newcastle United202
8) Leeds United202
9) West Ham United202
10) Arsenal FC202
 
Dull jr arsenal yako mbona ipo mbali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…