mount ajifunze kuwa na accurate katika upigaji wake yani huwa anapiga kinyonge so inbd awe anapiga kwa uhakka ZaidZiyech, Mount na Kai Havertz wanacheza namba flexible za mbele kwa hiyo kuwaswitch kulingana na oponent ni kazi rahisi
Sasa kama huyo WCP wako sisi huku alikuwa ni kapi, je una shaka gani juu ya huu uKING tulionao mzee?Mtawajua kwa matendo yao, Giroud katupa Europa na sasa anakaribia kutupa top 4 tena top 3. Hapo vipi?
Maendeleo ya kugongwa tatu tatu na midtable teams[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati wanaume tunajadili mipango ya maendeleo, naman ya kuchukua mataji zaidi, ninyi mnajadili historia. Hii ndio big difference between Chelsea and Arsenal
Usimfananishe Giroud na Luiz, Giroud katupa Europa tena kawa mfungaji bora, kabeba kiatu cha dhahabu, Najua nafsi yako inakusuta kuhusu Giroud!Kwahiyo Giroud kaenda fc kobe ya London kumalizia soka baada ya kutemwa na Arsenal??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama bakayoko tuHiv Kai ubora wake upo wapi? Binafsi sijawahi kumuona akicheza.
Shida sana hizi hahaha sasa nyinyi si mmejinasibu kuwa na world class sasa iweje uje na huo utopolo wa potential? Hovyo kabisa, alafu yai ndio nini? Acha ulimbukeniWe ndo hujielewi unajitekenya afu unacheka mwenyewe nmekwambia wana potential ya kuwa World class au yai ni tatizo kwako nn
Mtawajua kwa matendo yao, Giroud katupa Europa na sasa anakaribia kutupa top 4 tena top 3. Hapo vipi?Sasa kama huyo WCP wako sisi huku alikuwa ni kapi, je una shaka gani juu ya huu uKING tulionao mzee?
View attachment 1512822
Tunakusubiri kwanza utufikie ndio tuanze kushindana,we huoni tukichukua now tutakuacha mbali sn ?Wakati wanaume tunajadili mipango ya maendeleo, namna ya kuchukua mataji zaidi, ninyi mnajadili historia. Hii ndio big difference between Chelsea and Arsenal
huwe unafatilia mpira mkuu [emoji3][emoji3]Hiv Kai ubora wake upo wapi? Binafsi sijawahi kumuona akicheza.
Umekurupuka kucomment wala hujasoma vizuri ..... nimekwambia WCP n kante au humjui, na pia tunawachezaji wenye high potential ya kuwa world class unaleta habari za utopolo wako....BTW yai ni kiingereza kama we we sio limbukeni ni nnShida sana hizi hahaha sasa nyinyi si mmejinasibu kuwa na world class sasa iweje uje na huo utopolo wa potential? Hovyo kabisa, alafu yai ndio nini? Acha ulimbukeni
Huyo kipepe si alikuwa ana takwimu za kutisha huko lille alivyokuja arsenal akawa na kiwango maradufu sioHatimaye The blues yasajili mchezaji,ila Chelsea huwa mna laana ht wachezaji wazuri wanafiaga viwango hapa [emoji23] [emoji3][emoji3]
Kaja ligi mpya mkuu bt so far so good, he is not mediocre like yoursHuyo kipepe si alikuwa ana takwimu za kutisha huko lille alivyokuja arsenal akawa na kiwango maradufu sio
unacompare pepe na pulisic!?Kaja ligi mpya mkuu bt so far so good, he is not mediocre like yours
Enzi hizo makombe machache siyo kama sasa hata Mickey Mouse zinakushindaSasa wewe si ulikaa 50yrs???
Sasa miaka yote hiyo si mtu anajukuu kabisa, unacheka kibanzi wakati una boriti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hata mimi naweza kuandika naamini na wewe unaweza pia. Sasa nakuomba kaandike uiweke Arsenal namba moja uwapelekee jukwaani kwako mkatulie msome.Hiyo link hata wewe unaweza kuandika hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo kumwembe akiandika makala pale mwanaspoti ndio inakuwa sheria kwako????
Nonsense
Unamaanisha huu mserereko? Nenda kaserereke na weweHawajielewi hao, wanaforce heshima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wamepambana wao wanataka mserereko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua umemuelewa alivyo andika ila unakaza kichwa. Nakusaidia, wachezaji wanaotoka Chelsea kwenda Arsen8 wanae nda kumalizia mpira ila wanaotoka Arsen8 kwenda timu nyingine wanakua potential.Kwahiyo Giroud kaenda fc kobe ya London kumalizia soka baada ya kutemwa na Arsenal??? [emoji23][emoji23][emoji23]