kikosi Cha Chelsea kwa mda huu bdo Kiko ovyo kuliko Man untd so sometimes ishu wachezaji wenyew kujitumaMazee kwanini tusimuazime Conte kwa Muda aje apange kikosi cha leo ..mimi naona kama Lampard atafeli aise..
Mzee acha kuongea Sana hata game yenyewe bado uwe unajitahidi kuweka akiba ya maneno.[emoji23][emoji23]View attachment 1511013
Mzee acha kuongea Sana hata game yenyewe bado uwe unajitahidi kuweka akiba ya maneno.
Ww kiazi subirini kipigo takataka kabisa [emoji23][emoji23]Kwa shujaa huenda kilio, kwa muoga huenda kicheko.
Mzee acha kuongea Sana hata game yenyewe bado uwe unajitahidi kuweka akiba ya maneno.
Duuuh mbona una roho mbaya wew, sio vizuri kuwaombea ndugu zako kifoSun19th
ACCIDENT
Man utd vs Chelsea (6pm)
Wed 22th
DEATH
Liverpool vs Chelsea (8:15pm)
Sun26th
Wake keeping
Chelsea vs wolves (4pm)
Then finally
August 8th
Burial ceremony
Bayern Munich vs Chelsea(8pm)
I cometh in peace [emoji120]
Nawakumbusha kituko chenu,[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1511010
Kwani ujawazoea mashabiki wa manyumbu walivyo au wewe Ni mgeni wa soka?Watu wanatubeza mechi ya leo wanasahau tulicheza na Liver kama underdog tukamfunga tukaingia robo fainali, tukacheza na Leicester tukamfunga tukaingia nusu fainali.
Tuwe na imani na tuwaamini wachezaji wetu. Nyumbu anakufa leo π΅π΅π΅
Labda mushinde na njaa.Sisi tuna fixture ngumu lakini tutashinda[emoji3][emoji3][emoji3]
Nani anabisha
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Nakukumbusha na mimiNawakumbusha kituko chenu,[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1511010
Na wanakazi ngumu mechi na LFC kwa sababu leo analishwa K Vant na MOUWatu wanatubeza mechi ya leo wanasahau tulicheza na Liver kama underdog tukamfunga tukaingia robo fainali, tukacheza na Leicester tukamfunga tukaingia nusu fainali.
Tuwe na imani na tuwaamini wachezaji wetu. Nyumbu anakufa leo [emoji838][emoji838][emoji838]