Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huna haja ya kuwafukuza hawa, watajifukuzisha wenyewe
 
Sasa ninyi ndio mngetaka apigwe BAN si ndio?

Jana Manure walifurahi sana kuondoshwa kwa Ban ya Man City wakiamini kuwa atakaye komolewa ni Chelsea kuwa ataikosa Top 4,
But huenda kibao kikageuka, Manure watakuja kuililia Ban ya Man City kuondoshwa kwa kusema haki haikutendeka.
 
Kipindi cha pili hawakuwa na on target hata moja au nmeelewa vibaya
Hiyo ilikuwa ktk dkk za 70 hivi ila full 2nd half ni hii[emoji23][emoji23] wamepigiwa pira la kufa mtu hapohapo uwani kwao,hawajapiga ontarget hata moja
 
Norwich United[emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie, leo kuna jitu litang'ang'aniwa tu.
 
Sidhani kama Tomori ataanza, ndio tu katoka majeruhi. Christensen anaweza kuanza kwa maana yuko fit
 
Wale Southampton wanaitwa "The Saints" maana yake Watakatifu wa Bwana"
Na wale wengine wanaitwa "Red Devils" maana yake Mashetani wekundu
Tatizo ni mashetani walicheza na watakatifu
Tangu lini Shetani akamshinda Mtakatifu wa Bwana?
 
Kupanga tomori.james na azip kwa pamoja inakuwa ni ngumu kidogo.. Kwa maana hao wote ni wafupi mipira ya juu inawasumbua...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…