Lampard ametufanya tuanze kuombea matokeo ya leicity ipigwe na Bournemouth kwa kweli tuna wakati mgumu hiki kipindi ....ila so far so good Bournemouth 2 levity 1 tunaomba ya endelea hivi1. Lampard anashindwa kupanga kikosi
2. Lampard anashindwa kufanya sub
3. Lampard anakosa ubunifu
4. Lampard mbinu zake ni dhaifu
5. Lampard anapendelea baadhi ya wachezaji
6. Lampard ameshindwa kuorganize wachezaji
7. Lampard ni mgumu kukubali ukweli
8. Lampard uwezo wake ni mdogo kuifundisha Chelsea.
Bournemouth 4 LFC 1, bado tuko kwenye nafasi yetuLampard ametufanya tuanze kuombea matokeo ya leicity ipigwe na Bournemouth kwa kweli tuna wakati mgumu hiki kipindi ....ila so far so good Bournemouth 2 levity 1 tunaomba ya endelea hivi
JidanganyeBournemouth 4 LFC 1, bado tuko kwenye nafasi yetu
Kesho Manure anasambazwa kabisa na Southampton, watu wamesahau kuwa EPL mwishoni matokeo huwa ni Vice Versa
Bournemouth 4 LFC 1, bado tuko kwenye nafasi yetu
Kesho Manure anasambazwa kabisa na Southampton, watu wamesahau kuwa EPL mwishoni matokeo huwa ni Vice Versa
Southampton tumekosa kesho ana goli 4Bournemouth 4 LFC 1, bado tuko kwenye nafasi yetu
Kesho Manure anasambazwa kabisa na Southampton, watu wamesahau kuwa EPL mwishoni matokeo huwa ni Vice Versa
Southern Highland Tutajie stats zake ana cleensheet ngapi save ngapi na ubora wake kiujumla
Mkuu Lampard angekua hivyo unavyosema tungekua tunashika nafasi ya 3 mpaka sasa? Mimi nadhani ni hasira tu kupoteza game katika kipindi ambacho ilitupasa kutopoteza.1. Lampard anashindwa kupanga kikosi
2. Lampard anashindwa kufanya sub
3. Lampard anakosa ubunifu
4. Lampard mbinu zake ni dhaifu
5. Lampard anapendelea baadhi ya wachezaji
6. Lampard ameshindwa kuorganize wachezaji
7. Lampard ni mgumu kukubali ukweli
8. Lampard uwezo wake ni mdogo kuifundisha Chelsea.
Kipa wa kawaida tu sijui scout wameona nini kwakeSouthern Highland Tutajie stats zake ana cleensheet ngapi save ngapi na ubora wake kiujumla
Chelsea hawapo serious si Bora tu wamchukue popeKipa wa kawaida tu sijui scout wameona nini kwake
Katika mechi 33 ana cleansheet 4Chelsea hawapo serious si Bora tu wamchukue pope
Chelsea hawapo serious si Bora tu wamchukue pope
[/QUOTE
Kuna dalili kubwa za kumchukua Andrew Onana wa Ajax.
Nick pope ana clean sheets nyingi mno yupo Kati ya wale wanaowania golden glove.Katika mechi 33 ana cleansheet 4
Huyo Nick pope hadi Dean Henderson kamzidi. Naye ni walewale tu. Hapo bora kumchukua Onana kwa uhakika zaidiNick pope ana clean sheets nyingi mno yupo Kati ya wale wanaowania golden glove.
Hapana Nick pope ana clean sheets 14 but Dean Henderson anazo 13, Ila nimeona kuna uwezekano mkubwa wa kumchukua Andrew Onana wa Ajax.Huyo Nick pope hadi Dean Henderson kamzidi. Naye ni walewale tu. Hapo bora kumchukua Onana kwa uhakika zaidi