Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapo kwenye kupendelewa mchezaj yupi anapendelewa

Kuna baadhi ya wachezaj wanapangwa based na performanc zao mazoezini kama mtu mazoezini anafanya vizuri unategemea apigwe bench

Jana lamp alizulingua kwa giroud tu ila huko kwingine ni wachezaj wale wale waliocheza mechi ambazo tumeshinda
 
Hivi hujui Kama Pedro anaondoka anajiunga na Roma
 
Jorginho anazingua sana akiwepo tuna ongoza possession lkn magoli hakuna me naona angeuzwa tu amfate mafegi
Kaka Kama akiwepo mnakuna na umiliki mzuri wa mpira basi jamaa anatimiza majukumu yake vyem Mana yeye ni mido sio forward au wing swala la kutokupata magoli wakulaumiw ni kina wilian ,Tammy,pulisic na wale wambele sio gorginio
 
[emoji847][emoji847]
 
Wachezaj sindio hao hao anaowatumia kuanzia mwanzo mwa msimu au kuna mchezaj ambaye atumiki
Mkuu unachoongea ni kweli lakini kuna kipindi mchezaji mwingine anakuwa yuko form mwingine anakuwa hayuko form, imagine performance ya Giroud games zilizopita kafanya vizuri lakini Jana kaanza Abraham ambaye hata amekuwa haeleweki kabisa. Lakini Jana kapangwa
 
Mwingine wa ovyo ambaye anamuamini akimtoa willian Ni odoi badala ya Pedro
 
Kila siku nawaambia huyu Lampard ana Uingereza mno, kuna matakataka kama lile lioka mikate na lile kubwa jinga la pale mbele haya matakataka hayafai kabisa kuwa katika klabu yetu
Mchukueni Selemani Matola[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bad news Leicester 1 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Arsenane unateseka sana kushinda kwwnye nyuzi za kiumeni kupunguza mawazo na kichapo chako cha leo toka kwa Tottenham Hotspurs, agiza maji ya baridi kwa Mangi hapo nitakuja kukulipia.
Ushasahau kuwa wanaume walimaliza pakti jana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu nakubaliana na wewe 100%
 
Ujumbe bora huu twena wa mwaka katika uzi wa Chelsea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…