Nakuelewa sana mkuu[emoji1][emoji1], sasa jiulize kama kuna shabiki wa chelsea ambaye alianza kufuatilia soka kabla ya Mou era alikuwa anashabikia timu gani? Ndio hawa ambao leo wanasumbua na kuita wachezaji matakataka na wengi wana multiple id's kila jukwaa wapo tena makauzu balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu walihamia mpaka Leicester wa humuhumu kwenu[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli mashabiki wengi wa Chelsea ni wa chelsea ya Morinyo. Chelsea iliyoanza na ushindi wa makombe.
Mashabiki hawa wanaamini Chelsea ni club ya kubeba makombe kila msimu.
Roman Abromovich mwenyewe aliwekeza Chelsea na kuanza kubeba makombe na hategemei kuona ukame wa makombe.
Ndio maana anatimua makocha mara kwa mara bila kujali hasara, anamelewa makombe, mashabiki tumelewa makombe, tunajitaji mvinyo wa makombe tuendelee kuongea lugha moja.
Chelsea haiwezi kukaa miaka 10 bila kombe la EPL never labda Abromovich ang'ate godoro.
yani wao timu ikifungwa wataponda sanaNakuelewa sana mkuu[emoji1][emoji1], sasa jiulize kama kuna shabiki wa chelsea ambaye alianza kufuatilia soka kabla ya Mou era alikuwa anashabikia timu gani? Ndio hawa ambao leo wanasumbua na kuita wachezaji matakataka na wengi wana multiple id's kila jukwaa wapo tena makauzu balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu walihamia mpaka Leicester wa humuhumu kwenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo limefika sehemu yake, lazima likuume huo ni ukweli mchungu ambao wastaarabu wanaukubali.Bro jisemee wewe kutokana umri wako au upeo wako! Ila wengine tumeanza kushabikia Chelsea kitambo na tuna sababu zetu na hatujawah ongea Kama hvi... Me nmeanza na Chelsea ya Ranieri 2002/2003 ndo najielewa naanza kuipenda Chelsea Ila 2004 ndo nkazidi ipenda Mourinho anakuja pamoja na drogba so ukisema b4 Mourinho hamna alikuwa shabiki unakosea ko jisemee mwenywe
Sure mkuu, wengi wana id's zaidi ya moja kule liverpool wapo wanasherehekea ubingwa[emoji23] huku wapo kuita wachezaji takataka yaani wanaswitch tu[emoji23][emoji23][emoji23]hawana vifuayani wao timu ikifungwa wataponda sana
Kuna mda before corona timu ilkuw inashinda watu kusifia sana but wachezaji haohao Leo mtu anakwambia takataka
Ao ndo plastic fans
😅😅 ao ata Liverpool ikifungwa kazi yao kulaumu pia wachezaji wa LiverpoolSure mkuu, wengi wana id's zaidi ya moja kule liverpool wapo wanasherehekea ubingwa[emoji23] huku wapo kuita wachezaji takataka yaani wanaswitch tu[emoji23][emoji23][emoji23]hawana vifua
Apo kwa liverpool tung'ang'anie hata draw izo zingine tubamize za kutoshaNext fixtures
Sheffield United A (Hii tunashinda)
Norwich city H (Tunashinda)
Livepool A (Inategemea na hawa jamaa wameamkaje)
Wolves H (Tunashinda)
Alafu Kuna panzi atasema zouma auzwe..Mshahara wa Batshuayi aongezewe zoumaView attachment 1500606
but games zilizopita Christensen alieperfom sana so kuzingua game moja uwez kumjudge vibayaZouma jana alifanya kazi kubwa sana ya ulinzi, Christensen mzito sana, very slow kwenye ukabaji, halafu Christensen hana maamuzi ya haraka. Zouma ana enjoy kucheza mpira yuko very sharp asajiliwe partner
hahaha maybe but still Tammy hana consistence nzur nahic giroud ataendelea kuanzaKitendo Cha Abraham kufunga Jana utashangaa Lampard atampanga mfululizo hapa ndio anaponiuzi Lampard
LONDON IS BLUE
Southern Highland
Cash Money Forever
Papaa Gx
mart66
Hiv unajua akili za Lampard wewe?hahaha maybe but still Tammy hana consistence nzur nahic giroud ataendelea kuanza
Kwa hiyo hela sio mbayaYani Tammy anawadindishia wazee! [emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 1500648
Sasa takataka unailipaje pesa yote hiyo?[emoji23][emoji23]Kwa hiyo hela sio mbaya
Sito shangaa maana ni kawaida yake. Ata huyu muoka mikate kaanza kucheza baada ya kufunga goli game ya FA dhidi ya Leicester. Lampard akiendelea hiv tutamtimua
kila Koch ana mpunguf yak lampard ni mgumu kusoma opponents wakeIla wazee huwa tunatumia muda mrefu kujadili wachezaji lakini tunapuuzia kumjadili Lampard:-
mbinu zake
formation zake
ubunifu
sub zake
maono yake na
urafiki na wachezaji nje ya uwanja.
Kwa muda tuliokuwa na Lampard mpaka sasa tunaiona wapi timu yetu misimu miwili mitatu ijayo?
Najua mtasema ni mapema kumjadili Lampard lakini mkae mkijua lazima pia tumfahamu kocha wetu ndani ya Chelsea.
Ana goal 14 sio haba kwa hiyo hela inamfaa.Sasa takataka unailipaje pesa yote hiyo?[emoji23][emoji23]
Kepa ana weakness kwenye mashuti ya nguvu, angekuwa Martinez wa Arsenal angeipunch lile shutiPia Ni mistake ya kipa zaha kapiga palepale alipo kipa lakini kipa kashindwa kusave
Kepa aliyezubaaga [emoji23][emoji23]Kepa ana weakness kwenye mashuti ya nguvu, angekuwa Martinez wa Arsenal angeipunch lile shuti