[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo pia ni kocha, hapo watakuja hao akina werner na ziyech, kiungo akawe barkley. nao wakina wener wataanza kuonekana hawajui, mwisho wa siku na comfidence inapotea wanakua akina batshuay wazungu.
Hili peleka kwenye board[emoji23] maana hapa mtapigizana kelele alafu hamna hata mbuni.Waungwana kama mjuavyo kule nyuma sio kuzuri kabisa, twende na nani kati ya Ibrahima Konate, Dayot Upamecano ama Pau Torres au tuchukue wote watatu tuwe na ukuta hatari dunia nzima. Napenda kusikia mawazo yenu wana blues wenzangu, KTBFFH
[emoji23]Utampigia hesabu mchezaji ambaye hujamsajili?
Bayern Liverkursen[emoji23]Havertz unamuweka wapi?
kwa saiz nahic Chelsea watasajili cb na lb ndo priority uko kwingin ni afadhal kuliko defense yetu imeozaNi AM ama CM zote mbili anacheza kwa ufasaha kabisa.
upamecano kwa upnde wangu anfaa ZaidKuna hawa watatu Ibrahima Konate, Dayot Upamecano ama Pau Torres unadhan nani anafaa zaidi?
Kujadili mchezaji mmoja mmoja tutakesha kubishana. Kila shabiki kuna mchezaji ambaye anampenda kwa sababu zake binafsi either kwa muonekano wa mchezaji au uchezaji wake.
Kuna mashabiki wa Barkely hapa huwaambii kitu kuhusu hii mashine yao ya kazi.
Kuna mashabiki hapa wanampenda Abraham, ndio striker wao bora, wanahisi kutofunga magoli ni kwamba anahujumiwa hapewi pasi za kufunga, pia hapewi penati za kupiga.
😂😂😂😂😂😂mashabiki hapa wanampenda Abraham, ndio striker wao bora, wanahisi kutofunga magoli ni kwamba anahujumiwa hapewi pasi za kufunga, pia hapewi penati za kupiga.
muoka mikate yupooLampard amuanzishe leo jorginho uzoefu wake utatubeba leo asijiroge akamchezesha gilmour atafanya kosa kubwa Sana
Cash Money Forever
Papaa Gx
lembu
Kule tunaongea mchele tu mkuu,[emoji23]Acha kuongea pumba, peleka hizo pumba huko Arsenal
kwahiyo mtu akikosa penati anakuwa hajui! Washabiki wa haka katimu ndio mnakafanya kaendelee kuwa katimu kadogo hapo Epl kwani mna utoto mwingi.Tena ishia hapo hapo hiyo kenge takataka inajiita Abraham anahujumiwa na nani.?? Yeye mwenyewe ndio anajihujumu hapaswi kuwa kwenye klabu kubwa kama Chelsea, hiyo takataka si ndio ilikosa penalti ya mwisho kwenye kombe la Super cup.
Hilo liko wazi kabisa, nimeona Gilmour yuko bado ni too risky. Juzi Billy alipoingia badala ya Kante kuna mpira aliuzembea kidogo tufungwe kama sio umaridai wa Kepa na ZoumaLampard amuanzishe leo jorginho uzoefu wake utatubeba leo asijiroge akamchezesha gilmour atafanya kosa kubwa Sana
Cash Money Forever
Papaa Gx
lembu
Mashabiki wengine hapa ni wa 2020, hata huko kwako Arsenal wako kama hao unaowasema, wakikosolewa ni matusi na kujifanya wao wanajua kuliko wenginekwahiyo mtu akikosa penati anakuwa hajui! Washabiki wa haka katimu ndio mnakafanya kaendelee kuwa katimu kadogo hapo Epl kwani mna utoto mwingi.
Kwa Mara ya kwanza leo nitawashangilia mumpige Leicester cityKule tunaongea mchele tu mkuu,[emoji23]
Hata juzi mimi niliwashangilia Arsenal walipompiga yule Mbwa mwitu na leo nitaendelea kuwashangilia wampige na Mbweha yule mkorofiKwa Mara ya kwanza leo nitawashangilia mumpige Leicester city
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeehMashabiki wengine hapa ni wa 2020, hata huko kwako Arsenal wako kama hao unaowasema, wakikosolewa ni matusi na kujifanya wao wanajua kuliko wengine
Sasa hapa London ipi timu ambayo sio ya hovyo mkuu?watford au westham? [emoji23][emoji23][emoji23]Halafu utashangaa ndio wanapigwa. Arsenal timu y hovyo sana.