We can still turn things around, 2-0 at the Bridge is very possible.
Come on you Blues!
KTBFFH
Hizo Liva na man u zipo wapi sasa????? Things do change....Timu za EPL zinazojua kucheza UCL ni Liva na Manure tu, nyie wengine ni wababaishaji tu.
Tafazali hiyo makitu hakikisha unaiwekea mared.... usijali ligi haijaisha na inshallah mwakani mtatujua sisi ni nani inapokuja UCL.Hizo Liva na man u zipo wapi sasa????? Things do change....
Mkombozi wa EPL kwenye UCL ni Liverpool na labda kidogo Manure.RIP EPL.... no English team in the Q final, corrupt, hypocritical, partisan, rubbish everything bad you name it, EPL executives are ruining what the previous leaders and pioneers built for money; buying the clubs didnt help
AISEE, INASIKITISHA SANA EPL INAPOKWENDA, ITAKUA KAMA BELGIAN LEAGUE IF THEY ARE NOT CAREFUL
Liva mwakani hata haichezi Uefa ndogo...labda mjitahidi mwaka huu mchukue Carling Cup!!Tafazali hiyo makitu hakikisha unaiwekea mared.... usijali ligi haijaisha na inshallah mwakani mtatujua sisi ni nani inapokuja UCL.
Ngoja tusubiri tuone.... Chelshit na AssesNo wana jeuri ya kutuzuia?...Think Rejao, Think! Ligi bado sana hii na vijana wanazidi kuonana.Liva mwakani hata haichezi Uefa ndogo...labda mjitahidi mwaka huu mchukue Carling Cup!!
Nyie nyanya tu....timu haina consistency...inafunga timu kubwa, ikikutana na timu zinazoshuka daraja inanyukwa!!Ngoja tusubiri tuone.... Chelshit na AssesNo wana jeuri ya kutuzuia?...Think Rejao, Think! Ligi bado sana hii na vijana wanazidi kuonana.
Nyie nyanya tu....timu haina consistency...inafunga timu kubwa, ikikutana na timu zinazoshuka daraja inanyukwa!!
Liva zamani bana, siyo hii ya akina Carol!
Naona Man City na Chelshit hamchekani cuz wote mmechezea kichapo pale nyumbani kwa akina Lavezzi, Cavan, Hamsik na Inler!!bora umeliona hilo..
Naam, ni kilio na kusaga meno tuu, hatueleweki kama Jamhuri fulani ya Ubabaishaji!
RIP EPL.... no English team in the Q final, corrupt, hypocritical, partisan, rubbish everything bad you name it, EPL executives are ruining what the previous leaders and pioneers built for money; buying the clubs didnt help
AISEE, INASIKITISHA SANA EPL INAPOKWENDA, ITAKUA KAMA BELGIAN LEAGUE IF THEY ARE NOT CAREFUL
Mutu hatari sana ile.. Chezea Cavani wewe?edinson cavani 😛hoto:😛hoto: