We umeona hiyo nafasi akicheza wapi?Hayo ni majukumu yake mapya hata mount hatakuwa na nafasi kwenye kiungo
Ili RLC acheze attacking midfield itabidi ross Barkley auzwe na kwa hiyo sasaRLC sio attacking winger Ni kiungo mshambuliaji
Bado ina matobo matoboSquard haijakaa vizuri una maanisha kivipi?
Kabla hajaumia Sarri alimchezesha kama winga, mashabiki wana-suggest hivyo kwa sababu kuna congestion kwenye viungoWe umeona hiyo nafasi akicheza wapi?
Kwani Chelsea wamekuambia usajili umemalizika?Bado ina matobo matobo
Kuanzia kwa kipa, LB, CB, midfiled na wingas
Ili tuwe kwenye mbio za ubingwa au contenders wa ubingwa ni lazima tusiwategemee hawa wachezaji kwenye first team
Zouma
Emerson
Barkley
Odoi labda baada ya misimu mitatu
Pulisic labda baada ya misimu mitatu
Mount labda baada ya misimu miwili
Ili tuwe contenders wa ubingwa na hata UEFA ni lazima tuweke wachezaji wafuatao
Angalau tutahitaji wachezaji makini watano ili timu hata isipochukua ubingwa imalize kama Liverpool walivyokimbizana na Man city mwaka jana
- Kipa wa kushindania namba na Kepa
- CB wa first choice asaidiane na Rudiger
- LB wa kusaidiana na Alonso au waletwe compitent LB wawili level ya Chilwell na Alex Telles
- Kiungo mchezeshaji, akina Jourginho na Kovacic sio wacheseshaji wazuri hasa wa kupeleka assists kwa wafungaji, pia sio wafungaji wazuri kama akina Lampard enzi yao
- Tutahitaji winga angalau mmoja level ya Jadon Sancho wa upande wa kushoto
Yupi anayeweza kuchukua number ya RLC pale ?Kabla hajaumia Sarri alimchezesha kama winga, mashabiki wana-suggest hivyo kwa sababu kuna congestion kwenye viungo
Lakini UEFA wame-confirm kuwa Ziyech na Timo hawataruhusiwa kucheza kwenye mechi za msimu huuOfficial: Werner Chelsea player
Chelsea imecofirm usajili wa Timo Werner from RP Leipizig kwa price clouse ya paundi million 45.Imerepotiwa kuwa atajiunga na Chelsea mapema mwezi wa 7 na atakuwa sehemu ya team Chelsea itakaporudiana na Bayern Munich.
RLC ni flexible player, sijasema anatolewa attacking midfield wa sababu hawezi ila kwa sababu anaweza kucheza winga kama ambavyo angecheza attacking MF. Yeye na Mount wako flexible kwenye hizo attacking positionYupi anayeweza kuchukua number ya RLC pale ?
[emoji28][emoji28]Acheni hizo kachukueni lile zigo lenu kule Emirates lisiendelee kuwaulisha Washika Bunduki
Hapa nimekupata je number 10 atacheza Nani?RLC ni flexible player, sijasema anatolewa attacking midfield wa sababu hawezi ila kwa sababu anaweza kucheza winga kama ambavyo angecheza attacking MF. Yeye na Mount wako flexible kwenye hizo attacking position
Atajiunga na Chelsea July lakini hataruhusiwa kucheza UEFA matches zilizobaki iwe na Bayern au kama Chelsea itaendelea quarter, semi final na finalSidhani Werner amesema atajiunga na kikosi cha Chelsea next season.
Nimecheka sana baada ya kusoma hyo caption hpoWerner ukurasa wake wa IG, baada ya Chelsea kupost DEAL DONE, nilimfollow Werner alikuwa na followers 500K sasa hivi 994K View attachment 1482361