Wadukuaji wa wikipedia, Quaresma alikaa miezi minne tu na wala hakucheza sana na hakuna hata shabiki wa Chelsea aliyekuwa akimfuatilia kwa sababu hakuwahi kuwa na namba pale darajani.Na wewe ni shabiki wa Chelsea?????
Swali gani sasa hili?hebu kaa na wenzio wakupe japo A,B,C za club yako,kama unashangaa kwa Ricardo Quaresma ukiambiwa kuhusu Didier Deschamps na kina Maniche si utakataa wewe...!!!!
Nani huyo?Bayer Leverkusen CEO Fernando Carro says
"I see the player’s wish to take the next step sometime in the near future.
"You have to respect that as much as the fact that he has a contract in until 2022."
“You have to try to find a solution where the player’s goal can be reconciled with ours. At the moment nobody can say for sure what will happen.”
Kwa maelezo hayo hapo juu, inaelekea wako tayari kushusha bei na wanaweza kukubali ofa ya Chelsea ya paundi mil 75
Nilishakuambia alonso hauzwi huyo ndio mti mgongo wa mfumo wa 3-5-2 wa Lampard ataeuzwa hapo Ni Emerson.Wakimuuza Alonso na Emerson basi wamlete Alex Telles na Ben Chilwell
Duh...kwahiyo higuain hamkumfatilia?Wadukuaji wa wikipedia, Quaresma alikaa miezi minne tu na wala hakucheza sana na hakuna hata shabiki wa Chelsea aliyekuwa akimfuatilia kwa sababu hakuwahi kuwa na namba pale darajani.
Dah aiseeh ww,una balaa,labda mpindue miguuAje mapema UEFA tukapindue meza ya Bayern kibabe
Baada ya miaka miwili hadi mitano naye atasahulika, timu yeyote huwezi kumfuatilia mchezaji asiyekupa raha, wewe unawafuatilia wote Arsenal hata akina Gervinho na Park Chu-YoungDuh...kwahiyo higuain hamkumfatilia?
Baada ya miaka miwili hadi mitano naye atasahulika, timu yeyote huwezi kumfuatilia mchezaji asiyekupa raha, wewe unawafuatilia wote Arsenal hata akina Gervinho na Park Chu-Young
kipindi yupo katika timu yangu laz,a nimfatilie mzee!na atabaki katika rekodi kuwa alishawahi kupitia chamaniBaada ya miaka miwili hadi mitano naye atasahulika, timu yeyote huwezi kumfuatilia mchezaji asiyekupa raha, wewe unawafuatilia wote Arsenal hata akina Gervinho na Park Chu-Young
next flopper
hahahahahahahahahaha kuna mtu anakuja kuwa Flopper la msimu hapo,mjiandae kisaikolojia msije vunja TV zetu katika mabanda umiza,1 Marhez = 3 pepe's
what about Pepe,!?hahahahahahahahahaha kuna mtu anakuja kuwa Flopper la msimu hapo,mjiandae kisaikolojia msije vunja TV zetu katika mabanda umiza,
Leo mjiandae kisqikolojiahahahahahahahahahaha kuna mtu anakuja kuwa Flopper la msimu hapo,mjiandae kisaikolojia msije vunja TV zetu katika mabanda umiza,
Hahaa.. Mkuu hao ni wachezaji potential sana sema naona wengi wanawachukulia poa. Ngoja tuone msimu ujao itakuaje
Alonso asiuzwe..bado anafaaWakimuuza Alonso na Emerson basi wamlete Alex Telles na Ben Chilwell
Kwani akitua atacheza UEFA??Hahaaaa akitua mapema tu tunapindua