It is expected in some quarters that Liverpool may well make another bid having failed with an initial one around 16 days ago of €30m plus €15m in add-ons, which clearly is well below the rescission clause in Werner's contract, but certainly is potentially open to being upped and therefore giving Chelsea some competition.
Hizo habari za Chelsea kupeleka offer wewe umezitoa wapi? Kwa sababu hata sisi tunajua Chelsea bado haijapeleka offer ila imekubaliana maslahi binafsi na mchezaji na mchezaji keshakubali kujiunga na Super Frank. Sasa timu imbaki kumalizana na klabu yake." Timo Werner, bado ni mchezaji wetu halali atujapokea ofa yoyote kutoka katika klabu ya Chelsea, nimeona kwenye vyombo vya habari zina ripoti kuwa Chelsea wametoa kiasi cha paundi milioni 54 kumsajili sio za kweli ni za uzushi
.
.
" Sijapokea ofa yoyote kwa sasa tunaangalia lengo la kufuzu Michuano ya klabu Bingwa Barani Ulaya kwa msimu ujao ndio malengo yetu makubwa hayo ni bado mchezaji wetu nina imani atasaini mkataba mpya sio mda mrefu wa kuendelea kubaki na sisi
.
.
" Tuna mpango wa kumuongeza mkataba kwa sababu ni mchezaji mwenye umri mdogo hatuwezi kumuacha kuondoka hivi hivi kama atataka kuondoka lazima atuambie sisi viongozi wake," Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Rb Leipzig, Olivier Mintzlaff.
.
.
NB: Hii mpya sasa[emoji113] nani mkweli hapo eti mashabiki wa Chelsea
Tammy ni bora mara mbili ya Rashford sasa tukimuweka na Werner si mtaumia zaidi. Tulieni dawa iwaingieHivyo vishambuliaji vyenu nyoronyoro vitafeli tu hapo. Bora lingekuwa jitu kama Haaland!
Halafu kuna dogo wa kuitwa KAI HAVERT anataka kwenda Bayern badala aje EPL kwenye ligi la wanaumeKipindi cha dirisha dogo January timu nyingi zilimtaka lakini kipindi kile walikua wanaongoza ligi kwao akaona bora abaki na kocha alishawaambia ana mpango wa kujenga timu kumbe bhana mambo hayaendi kama unavyopanga. Walipoondolewa pale juu amekaa akajifikiria akaona bora atafute tu timu ya maana kuliko kubaki pale penye utawala wa Bayern pakee.
Werner ahsante kwa kuchagua kuja Chelsea. Nawaza msimu ujao sijui utawapiga mangapi manyumbu. Naomba uanzie Hattrick yako kwa mashetwan.
Nina furaha sana. Yaan Werner anaanza huku benchi una Tammy na Giroud. Mweeeeh!!
Ngoja niquote hii post kabla hajasajiriwa" Timo Werner, bado ni mchezaji wetu halali atujapokea ofa yoyote kutoka katika klabu ya Chelsea, nimeona kwenye vyombo vya habari zina ripoti kuwa Chelsea wametoa kiasi cha paundi milioni 54 kumsajili sio za kweli ni za uzushi
.
.
" Sijapokea ofa yoyote kwa sasa tunaangalia lengo la kufuzu Michuano ya klabu Bingwa Barani Ulaya kwa msimu ujao ndio malengo yetu makubwa hayo ni bado mchezaji wetu nina imani atasaini mkataba mpya sio mda mrefu wa kuendelea kubaki na sisi
.
.
" Tuna mpango wa kumuongeza mkataba kwa sababu ni mchezaji mwenye umri mdogo hatuwezi kumuacha kuondoka hivi hivi kama atataka kuondoka lazima atuambie sisi viongozi wake," Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Rb Leipzig, Olivier Mintzlaff.
.
.
NB: Hii mpya sasa[emoji113] nani mkweli hapo eti mashabiki wa Chelsea
Mzee Willian anaondoka hakuna namna. Ameshakataa offer ya miaka miwili yeye anataka mitatu. Halafu pamoja na hivyo Willian tayari ni mzigo muda wake umeisha aende tu.Mi nadhani Lampard asiuze wachezaji wengi tunatakiwa tuwe na kikosi kipana, sio mchezaji anapata injury tunahaha kujaza nafasi yake.
Man city KDB na Sane waliopata injury kwa wakati tofauti lakini timu ikaendelea kuperform kwa kiwango cha juu.
Nalipenda willan abaki na Ziyech atue wapambanie namba.
WACHEZAJI WA KUONDOKA:-
1. Emerson
2. Zappacosta
3. Drinking water
4. Bakayoko
5. Batshuayi
6. Pedro
WACHEZAJI WA
KUBAKI
1. Keppa (2nd chance asajiliwe mabeki)
2. Rudger
3. Zouma (sub)
4. Christensen
5. James
6. Tomori (sub)
7. Alonso ( Sub & 1st 11)
8. Azipucueta
7. Joginho
8. Kante
9. Kovacic
10. Glamour (Sub umri mdogo)
11. Ross Barkely (Sub)
12. Pulisic
13. Odoi
14. Cheek
15. Willian
16. Mount
17. Giroud
18. Abraham
Wachezaji wengi wa ujerumani lengo lao kubwa ni kuchezea Bayern kama ilivyo hapa bongo wachezaji wengi ndoto zao ni kucheza Simba au YangaHalafu kuna dogo wa kuitwa KAI HAVERT anataka kwenda Bayern badala aje EPL kwenye ligi la wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni kama Willian anaondoka, Atakubali mkataba aliopewa na kusaini kuwepo darajani kwa miaka mingine miwiliMzee Willian anaondoka hakuna namna. Ameshakataa offer ya miaka miwili yeye anataka mitatu. Halafu pamoja na hivyo Willian tayari ni mzigo muda wake umeisha aende tu.
Jaribuni kumchunguza Lampard vizuri. Hataki mchezajo awe superior kuliko wengine mfano dogo Tammy ana demand mshahara mkubwa kamletea mtu wa kumchallenge. Willian anagoma kusign mkataba mpya Ziyech amekuja. Hivi mnadhani kwa hali hiyo hawa wachezaji wanaweza kuendelea ku demand mambo makubwa klabuni? Ni aidha wakubali matakwa ya klabu au waondoke.Apewe mkataba wa miaka 3 kwa pungufu ya mshahara. Awe sub, willian bado hajawa mzigo, vilabu vikubwa visingetaka signature yake
Sioni kama Willian anaondoka, Atakubali mkataba aliopewa na kusaini kuwepo darajani kwa miaka mingine miwili
Pulisic anacheza kote kulia na kushoto. Odoi anweza kucheza kushoto then Pulisic akaingia kulia au Werner mwenyewe akaanza na Tammy mbeleSUB ya Ziyech atacheza nani? Bishoo Odoi? Barkely?
Atacheza Odoi. Ila mwenye wakati mgumu akija Timo ni Pulisic. Timo na Tammy wanaweza kucheza kwa pamoja Timo akitokea kushoto kuingia kati. Pulisic hawezi kucheza vizuri wing ya kulia ukilinganisha na Odoi.SUB ya Ziyech atacheza nani? Bishoo Odoi? Barkely?