mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,260
- 12,872
#EPL: Ligi kuu soka England, huenda ikarejea wiki ya kuanzia Juni 8 mwaka huu, baada ya kikao cha jana cha majadiliano ya lini wachezaji wataruhusiwa kufanya mazoezi ya pamoja.
Klabu zimekubaliana kwamba mazoezi yataanza mei 18 mwaka huu na mechi zitaanza kuchezwa bila mashabiki wiki tatu baadaye, lakini serikali ya Uingereza imesema itahakikisha wachezaji wanafuata njia za kujilinda zaidi na virusi vya #Corona.
Jarida la #Sportsmail, limeripoti kuwa, katika majadiliano yaliyofanyika, klabu zinataka ligi imalizike juni 30 ili kuondoa ugumu wa kuwaongezea mikataba wachezaji, pamoja na mikataba ya kibiashara.
#EPL #Chelsea #
Sent using Jamii Forums mobile app