Mimi bado nipo 50/50 kwa Kante. Naona kama hawezi fit kwenye falsafa ya Lampard. Tukimuuza bei kubwa tutawaleta wachezaji wazuri wa bei poa na mshahara poa na bado wakaleta Chemistry nzuri na akina Billy, Kovacic na hao wengineo kwenye falsafa ya LampardWachawi ni hawa
Jognho
Bakley homa ya kipindi
Odoi
Tammy
Hapana
Kwa upande wangu
Kante / kovacic na girlmour inatosha
Maana watamsaidia girl kukaba si kama Jognho ana rafu kijiji na kukaba awezi na ni kupeleke mipira side
Wachawi ni hawa
Jognho
Bakley homa ya kipindi
Odoi
Tammy
Hapana
Kwa upande wangu
Kante / kovacic na girlmour inatosha
Maana watamsaidia girl kukaba si kama Jognho ana rafu kijiji na kukaba awezi na ni kupeleke mipira side
Uzuribwa barkley anaweza assist na akafunga ni tofauti na kovaIla tuache masihara... Barkley akiwa kwenye form Kovacic haoni ndani.
Refer hizo match mbili zilizopita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa.Hapa hata sikubaliani na wewe, huwezi ukasema yupo form wakati timu yote inacheza vizuri.
kante ni mkabaji wala sio unavyodai hafitMimi bado nipo 50/50 kwa Kante. Naona kama hawezi fit kwenye falsafa ya Lampard. Tukimuuza bei kubwa tutawaleta wachezaji wazuri wa bei poa na mshahara poa na bado wakaleta Chemistry nzuri na akina Billy, Kovacic na hao wengineo kwenye falsafa ya Lampard
Naona kama Kante akiwekwa pale hataongeza kitu, tutarudi kule kule kwenye inconsistency
Kante anacheza nafasi ya ukabaji tu mara nyingi na matokeo ni yale yale. Kwenye formation ya 433 ndio pekee anacheza mbele ila kwenye formations zenye DM wawili anakaba Ndugu. mfano 3-4-3, 4-2-3-1 hizi zote inakuwa na DM wawili na Kante huwa anacheza na Jorgi au Kovakante ni mkabaji wala sio unavyodai hafit
Anaonekan afiti kwa mana akicheza kupeleka mbele mpira mkbaji jognho anboronga anamwachi kovacic so akicheza kam mkabaji bado jognho n kovacic hawapeleki mbele so akiwa na girlmol naimani huyo dogo atakuwa anapeleka mbele mpira kante anapooza tuuu mashambuliz ya upinzani
Acha kumfananisha kovacic na upuuzi kovacic ni kiungo wa daraja la juu sanaIla tuache masihara... Barkley akiwa kwenye form Kovacic haoni ndani.
Refer hizo match mbili zilizopita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Conte ndo pekee aliweza kumtumia vizuri kante, DM walikuwa wawili kante na matic na partnership yao ilikuwa amaizing kante akipanda matic anarudi chini na matic akipanda kante anarudi chini faida kubwa alikuwa anaipata kante ni kwamba matic alikuwa vizuri kwenye kukaba na kupandisha team ata anapopanda kante kukaba juu uku kwa matic kunakuwa salama tukija kwa mfumo wa Lampard wapocheza jorginho na kante as DM jorginho ana kuwa mzigo cos hana quality aliyokuwa nayo matic yaani kante akienda kukabia mbele jorginho anakuwa si salama cos kukaba hawezi na huyu ndo anamuangusha Kante.Solution hapo pekee Lampard anatakiwa amrudishe kante acheze pekee eneo la mbele ya mabeki wanne au tatu na jukumu lake ni kukabia maeneo hayo hayo asiende mbele na mbele yake zaidi wawe viungo wawili wa pembeni acheze Gilmour na kovacic ata tukiwa tumepoteza mpira tuna mtu wa kuwalinda Gilmour, kovacic ambaye ni kante.Kante anacheza nafasi ya ukabaji tu mara nyingi na matokeo ni yale yale. Kwenye formation ya 433 ndio pekee anacheza mbele ila kwenye formations zenye DM wawili anakaba Ndugu. mfano 3-4-3, 4-2-3-1 hizi zote inakuwa na DM wawili na Kante huwa anacheza na Jorgi au Kova
Hiv wana Chelsea hamumuoni kweli striker Wissam Ben Yedder wa monaco?dah! Huyu jamaa anafunga kweli kweli Hadi sasa ana goal 18 ingawa team yake haipo kwenye nafasi nzuri ya ligi, performance yao mbeya. lakini jamaa anatimiza majukumu yake vizuri.Huyu jamaa wanatakiwa uongozi wamchukue naona kabisa ana fit kabisa Chelsea na tutatoa nuksi pale mbele.Kingine kinachonivutia kwa huyu mwamba hakosagi magoal yakiboya Kama yule Tim Werner.Well said. Wa kumtumbua hapo ni Joginho. Kante alivyokuwa anacheza as attacking midfielder, Jognho anapwaya kwenye kazi yake ya defensive midfielder, inalazimu timu kucheza nyuma.
Kante akirudi acheze defensive Mildfilder halafu Glimour na Kovacic au BARLEY wapande juu kushambulia.
KOVACIC - KANTE - GILMOUR
GILMOUR - KANTE - BARKLEY
Na imani Glimour akicheza na KANTE huyu dogo hatachoka mapema kuliko dogo akicheza na mvivu Jognho mzito wa kukaba, dogo akicheza na Jognho atafanya kazi nzito sana kumsaidia Jognho kukaba na kupandisha mashambulizi juu.
Joginho ndio hafiti kwenye falsafa ya Lampard, Lampard anataka timu icheze kwa haraka haraka kwenda mbele, mvivu jognho anataka timu icheze taratibu kurudi nyuma.
Sent using Cash Money Wings
Kante anacheza nafasi ya ukabaji tu mara nyingi na matokeo ni yale yale. Kwenye formation ya 433 ndio pekee anacheza mbele ila kwenye formations zenye DM wawili anakaba Ndugu. mfano 3-4-3, 4-2-3-1 hizi zote inakuwa na DM wawili na Kante huwa anacheza na Jorgi au Kova
Conte ndo pekee aliweza kumtumia vizuri kante, DM walikuwa wawili kante na matic na partnership yao ilikuwa amaizing kante akipanda matic anarudi chini na matic akipanda kante anarudi chini faida kubwa alikuwa anaipata kante ni kwamba matic alikuwa vizuri kwenye kukaba na kupandisha team ata anapopanda kante kukaba juu uku kwa matic kunakuwa salama tukija kwa mfumo wa Lampard wapocheza jorginho na kante as DM jorginho ana kuwa mzigo cos hana quality aliyokuwa nayo matic yaani kante akienda kukabia mbele jorginho anakuwa si salama cos kukaba hawezi na huyu ndo anamuangusha Kante.Solution hapo pekee Lampard anatakiwa amrudishe kante acheze pekee eneo la mbele ya mabeki wanne au tatu na jukumu lake ni kukabia maeneo hayo hayo asiende mbele na mbele yake zaidi wawe viungo wawili wa pembeni acheze Gilmour na kovacic ata tukiwa tumepoteza mpira tuna mtu wa kuwalinda Gilmour, kovacic ambaye ni kante.
Kaka Lembu sio chuki wala mahaba ya kudumu huyo tammy anacheza mpira wa kusubiri qmabo saivi umepitwa na wakat kwa formation za hawa makocha mtazame frimino ana goli ngapi kwa nini asiwe sub hapana anachezesha timu muone auba aguero kane na kina suarez lewandosk na reus wanachezesha sasa tammy hata hawez ndio maana giroud anakuwa 1 france kuliko benzema na wengine labda kama wachukue mbadala wa giroud ila sio tammy wala huyu batsman
Wote naona hamnilewi... Lete statistics za match alizocheza Kovacic na alizocheza Barkley.Acha kumfananisha kovacic na upuuzi kovacic ni kiungo wa daraja la juu sana
Haya statistics zipo hivo. Lakini on the other side Minutes alizocheza kovacic ni zaidi ya mara mbili ya minutes alizocheza Barkley.
Watu wanmu underrate Barkley, tukiongea tunaambiwa hatujui mpiraHaya statistics zipo hivo. Lakini on the other side Minutes alizocheza kovacic ni zaidi ya mara mbili ya minutes alizocheza Barkley.
Sent using Jamii Forums mobile app