Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Watu wa namna hii ambao wanahisi kuwasilisha hoja zao mpaka watukane ni kuwaacha. Kwanza wanaonekana tu ni vijana wadogo wasiokuwa na uelewa kuwa humu kuna watu umri wa baba na kaka zao.
MPUUZI NA APUUZWETimu iko top four halafu shabiki mmoja ambaye hajaachive chochote tofauti na orgasms kadhaa kwa demu wake anamwita kocha takataka ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema hivi "mnaongoza league kwa mbwembwe." Hapo ntakuelewa. Maana hata nikikupa points kumi. Bado hunifikii [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahaha jana jana na mulikuja kwa mbwe mbwe njooni tena...
#CFC[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huko nafasi ya 10 mnatafuta nn?Hujui top scorer EPL anatoka timu gani?? Ebu tamka hilo jina kwanza, Pierre Emerick Aubameyaang, hapo bado tuna Eddie Nketiah na Martinelli ambao ni clinical finishers kuliko U23 yoyote Epl.Mchukueni Samatta mkuu muipeperushe bendera ya TZ.
Huyo lembu ni mnafiki ndio alikuwa anamponda Alonso sijui yukojeAcha kuwa kigeugeu fala wewe. Nilivyokua nauliza kwa nini hapangwi ulikua unapinga upuuzi. Vitu kama hujui ni bora ukapga kimya.
Alonso akicheza 433 huwa sio mzuri ni tofauti akicheza na 343Huyo lembu ni mnafiki ndio alikuwa anamponda Alonso sijui yukoje
Apo zote tunaua uyu Liverpool keshachoka tunamla kichwa vizuri tu..Next game tuko na everton stamford bridge kabla ya hapo j4 tuko na liverpool fa cup
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mtu akisoma comments zako na akitazama timu yako utopolo inaocheza, atashangaa kweli. Una timu gani ya kutamka kilaini tu hivyo? Hii ya kina Cabalero? Tomori? Zouma? Barkley? Mount rojorojo? AmaApo zote tunaua uyu Liverpool keshachoka tunamla kichwa vizuri tu..
Kisha tunaenda malizia kwa Everton pale
Sent using Jamii Forums mobile app