Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Kwa ratiba yenu mnaweza kuletwa korokoroniN'Golo Kante likely to miss Chelsea vs Tottenham with muscle injury, says Frank Lampard
Christian Pulisic and Callum Hudson-Odoi will both miss visit of Spurs.
He also said Tammy Abraham is "probably a maybe" to face Spurs.
(SKY SPORTS)
Tujiandae kipysicology PEDRO, BATSHUAYI wanaweza kupangwa tena mechi ya spurs
Nawaona mkiondoka top four mdogomdogoN'Golo Kante likely to miss Chelsea vs Tottenham with muscle injury, says Frank Lampard
Christian Pulisic and Callum Hudson-Odoi will both miss visit of Spurs.
He also said Tammy Abraham is "probably a maybe" to face Spurs.
(SKY SPORTS)
Tujiandae kipysicology PEDRO, BATSHUAYI wanaweza kupangwa tena mechi ya spurs
Hizo historia zilipendwa zama zake zimekwisha*Next Chelsea vs Tottenham*
Kwa kifupi tu Mourinho huwa hapigwi Mara mbili ndani ya msimu mmoja
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
We played better lakini finishing bado ni tatizo,, pia VAR walikua upande wa man u sana jana. 1st ile faulo ya maguire ilikua ni straight red card (same na ile faulo aliyocheza son wa spur na bahati nzuri refa wa kati ni yule yule kwenye gemu zote mbili), cesc fabregas, gary neville , roy keane wote wanakubali kua hawaelewi imekuaje maguire amepona pale, hata njano tu hakupewa..
Then, 2nd goli la Zouma lilitakiwa li"stand,, alichezewa faulo azpilicueta kabla ya kwenda kumchezea faulo william, sijui kwa hapa VAR maamuzi yao yalikuaje..
N:B in italy au world cup, tulushuhudia VAR refa akienda kuangalia kwenye screen ili atoe maamuzi mwenyewe,, ila EPL imekua ni kama upuuzi flani usio msaidia refa wa kati bali ni maamuzi ya hao waliokaa kwenye video.
Kingine, You cant win a war with boys you need men,, ndo kinachomponza Lampard. Giroud ameshinda world cup akiwa na france, ameshinda ueropa akiwa chelsea,, sio kua ni mbovu kutokufunga sana ila uwepo wake tuu unasababisha pale mbele angalau mpira haupotei hovyo.
Sasa unamuanzisha sharobaro ambaye hawezi kuumiliki mpira,, sio mzuri kwenye mipira ya juu, na pia hana accuracy kwenye mashuti yake
Batshuayi yule ni bora tubadilishane na korosho za pale bagamoyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halima gwaya ndio alisukumwa kidogo ila katika mpira wa miguu kitendo cha kurudishia au kulipiza rafu ni kosa kubwa,pale ilibidi apewe redcard direct,ukizingatia alimpiga maeneo nyeti.....
Ila lile libatshuay ni fala sana halijui kucheza na refa pale angekuwa suarez,ramos au stearing angegalagala kama zile pumbu zimeng'olewa mpaka refa angeshawishika,sasa lenyewe lile linajiona kamanda linajikaza....hovyo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Son atakuwa nje dhidi yenu,mshukuru na hili piaHope Zouma atacheza nafasi ya Christensen, Chelsea nyuma na katikati pana afadhali kidogo.
Kimbembe ni kule mbele kwenye kupachika mabao, Majeruhi + Uzee + Kilaza (Batshuayi) + VAR kazi kweli kweli.
Mungu asaidie mechi ya BAYERN Kante, Odoi, Pulisic, Tammy, Christensen warejee uwanjani.
Pia mason mountAzipuleta
James
Kovacic
Jana wamenifurahisha sana, walicheza kwenye kiwango bora sana.
We jamaa huishi vituko,Hahahaha[emoji23]
Giroud ni mzuri zaidi kuliko batshuayi. Zile cross za James + Azipiculeta = Giroud angefunga mabao.
Batshuayi mazoezini litakuwa linaperform vizuri ndio maana linapangwa.
Akiingia kwenye mechi wenge linampanda, kuvimba yote mapaja na kutetemeka mwili.
Kwahiyo hapa tunaenda kukutana pipa na mfunikoChelsea vs Spurs
- Chistansen kaumia pua
- Abrahama 50/50
- Odoi rulled out
- Kante ruled out
- Pulisic ruled out
Spurs
- No kane
- No Son
- No Sissoko
- No Erik Lemela
Endelea kufurahia tu huku unashuka darajaWe jamaa huishi vituko,
Umenikumbusha primary kumbe yule mkulima ndio alikuwa bwana Batshuay????alitoka ubelgiji ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa mkuu,inakuwaje nyumbu wanakugalagaza 3 times mfululizo!!!!???umerogwa
Huyu dogo baadae atauzwa hela ndefu sanaHaland yule wa mil 20 ambaye Scout wa Chelsea wenye makengeza hawakumuona anaendelea kufunga magoli, jana usiku katumbukiza 2 Dotmund ilipoifunga PSG 2-1
Mino raiola ndo alikataa dogo asiuzwe kwa timu za uingerezaMino Riola anatabasamu tuu.
Ukichukua Batshuay 100 unapata Halland mmoja.Yuko kibiashara zaidi. Angetua Uingereza dogo angekuwa amefika, kumuuza tena ingechukua muda mrefu.
Kwa Dortmund safari ya kupiga pesa bado inaendelea. Na always mawakala hawapendi sana mchezaji wake mzuri adumu kwenye timu muda mrefu.
Swali najiuliza Mino ndio aliscouting huyu dogo kuwa wakala wake au baba yake na halaand alimtafuta mino amsimamie dogo?
HAAA unataka tuwataje na majina? Kuna Timo Werner. Halaand ndio yule tumemuacha kaenda dortmund. Hata dembele mwenyewe yupo tough kuliko huyo Tammy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hapo kwa kolibaly ni ngumu kumpata, Chelsea haiwezi kupoteza hela kwa wachezaji more than two kwa paund million 100+.Roman aweke £300M mezani special kuwanunua SANCHO na HALAAND kwa pamoja.
Sancho - Halaand - Ziyech
Kovacic - Kante - Savic
Chiliwel - Rudger - Kolabaly - James