Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi nyie humu ndani inakuwaje mnampa sifa za kijinga Manchester United namna hii yaani mechi 3 msimu huu zote anawafunga kijinga jinga sisi Arsenal hili halikubaliki yaani mechi 3 anabeba point 9 huyu kiwete nimesikitika sana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ni kuvuliwa nguo kabisa huku. Yani hawapati hata draw. Mechi zote wanapigwa. Kha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kweli Man U sisi ni wabovu. Ila linalopokuja suala la Bkuea na Man city tunakomaa nao
Cash money humu hataonekana kwa sasa imeniuma sana mechi 3 huyu kiwete anapataje point 9 ??6 za ligi na akawatoa carling cup Lampard Lampard unakuwaje kibonde kwa hawa viwete?ole Gunnar akicheza na Arsenal ushindi wake ni sare

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mechi mumepigwa,tatizo una kiherehere na gundu kali,

Sent using Jamii Forums mobile app
Maumivu haya ya kugongewa chumbani kwako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20200218-005549_All%20Goals.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom