Ross bakrey nae alikuwepo anapaishwa tu sancho huwezi mlimganisha na Zyech wa Ajax inayotoa Madrid zyech ni pure class toka yupo feynood anachukua Erdvisvble player of the Year hajachuja.An English overrated player at the age of 19. Jaman hadi hizi namba zinadanganya?
Nifafanulie vizuri ukisema ni OVERRATED pengine sijawaelewa.View attachment 1357647
Sent using Jamii Forums mobile app
Barkley ni mzuri wakati yupo everton na kabla hajapata injuryRoss bakrey nae alikuwepo anapaishwa tu sancho huwezi mlimganisha na Zyech wa Ajax inayotoa Madrid zyech ni pure class toka yupo feynood anachukua Erdvisvble player of the Year hajachuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unahama kwenye mada. Mimi sijawafananisha Ziyech na Sancho nimetoa takwimu zao wote wawili uote jinsi walivyo vizuri hapo zingatia pia tofauti ya umri wao. Huyu dogo ana miaka 19 anafanya mamho hayo jiulize akifika umri wa Ziyech atakuwaje.?Ross bakrey nae alikuwepo anapaishwa tu sancho huwezi mlimganisha na Zyech wa Ajax inayotoa Madrid zyech ni pure class toka yupo feynood anachukua Erdvisvble player of the Year hajachuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unahama kwenye mada. Mimi sijawafananisha Ziyech na Sancho nimetoa takwimu zao wote wawili uote jinsi walivyo vizuri hapo zingatia pia tofauti ya umri wao. Huyu dogo ana miaka 19 anafanya mamho hayo jiulize akifika umri wa Ziyech atakuwaje.?
Sancho siyo overrated man. The boy is in his prime ready to conqure the world.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unahama kwenye mada. Mimi sijawafananisha Ziyech na Sancho nimetoa takwimu zao wote wawili uote jinsi walivyo vizuri hapo zingatia pia tofauti ya umri wao. Huyu dogo ana miaka 19 anafanya mamho hayo jiulize akifika umri wa Ziyech atakuwaje.?
Sancho siyo overrated man. The boy is in his prime ready to conqure the world.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu utakua usajili mzuri sana kwetu. Willian na Pedro kwa heri sasa Odoi akaze kupambania namba hapa.
Katika vitu mimi nilikua siamini ni kwamba board ya usajili imeshindwa kufanya kitu katika sajili ya January. Ni heri kuchelewa lakini ukafanyika usajili wa maana kuliko kuwahi kisa tu tumeruhusiwa kufanya usajili then tukaokota okota ikiwa shida.View attachment 1355928
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano ligi ikiisha hivi timu zipi zitaenda uefa champions league kutokana na ban ya man citySafiii hongera Lampard. Tusajili wachezaji wenye vipaji sio wachezaji wa vyombo vya habari.
Sent using Cash Money Wings
Dah de bruyne hawezi rudi chelsea...Haya sasa Marina amka amka twende Man city tukamchukue KEVIN DE BRUYNE hahaha
Sent using Cash Money Wings
Wanafit kwenye falsafa za makocha husika na formation zao, wacha waende wabaki wanaofit kwenye falsafa ya LampardJuventus wanamtaka JORGINHO
Inter/Ath. Madrid wanamtaka ALONSO
Juventus wanamtaka EMERSON
Barca wanamtaka WILLAN
Inter wanamtaka GIROUD
Wote wanahitajika na timu kubwa hii tafsiri yake ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah kabla hawajaleta kocha mpya waanze kwanza kuleta Bodi mpya.Media bana
The Blues are monitoring Diego Simeone's situation at Atletico Madrid and would consider replacing Frank Lampard, according to the Daily Express.
Ah mkuu me naona hii ya kante na jorginho iko poa sema shida yetu ni ile ile ya miaka yoteHahaha[emoji23] mchezaji wa babu SARI, anajua jinsi ya kumtumia, back pass laki 8.
Ile partnership ya KANTE na MATIC ilikuwa pouwa sana kuliko KANTE na JORGINHO
Sent using Jamii Forums mobile app