juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Me nahis kepa magoal anayofungwa ndio yanamfanya aonekane mbovu ujue kipa lazima aoneshe ubora wake hata kama beki ziko vizuri ukiangalia liverpool kunamechi unakuta alison anawaweka mchezon kwa save anazofanyaYES, inawezekana ikawa njia bora ya kupunguza hasara ya kumuuza Keppa mwisho wa msimu.
Usajili ufanyike kuboresha safu yetu ya ulinzi halafu tumuangalie keppa performance yake msimu ujao.
Sent using Cash Money Wings
Kwa haraka haraka hapa naona kama vile deal la sancho ndio basi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya koulibal ni fee yake sio chini ya £70M ikishindikana twende kwa umpemecano yule wa liepzigSajili TELLES na KOLABALY.
Telles + Rudger+Kolabaly+James = GERMANY WALL.
Sent using Cash Money Wings
Tunamtaka kama club zingineDeal ya sancho ndo basi tena kwani tulikua na agreement yoyote ya kumnunua Sancho au tunamtaka tu kama clubs nyingine zaidi ya 8?
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda itokee tumsajil kwa sababu za kibiashara tu lakin sidhani kama tunauwezo wa kutoa £120M kwa mchezaji mmoja labda tuwe serious kweli kwakeKiuchumi imekaa pouwa sana.
Sent using Cash Money Wings
Me nahis kepa magoal anayofungwa ndio yanamfanya aonekane mbovu ujue kipa lazima aoneshe ubora wake hata kama beki ziko vizuri ukiangalia liverpool kunamechi unakuta alison anawaweka mchezon kwa save anazofanya
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Defense line ya Liverpool uwezi kuifanisha na ya Chelsea
Kwenye mitandao usipopost habari zinazotrend huwezi vutia watembeleaji wengi. Official anoucement kwa taarifa za usajili huwa haipo hadi mkataba usainiwe kwa sababu tunazungumzia mchezaji mwenye mktaba halali na timu nyingine.Chelsea siku hizi wanapost tetesi za mitandaoni/magazetini.
Fans wengi wamelalamika sana huo utaratibu wa kupost tetesi zinazotuhusu sisi wenyewe.
Tulitegemea kama club iwe inapost official announcement za deal zilizofanyika na sio kupost tetesi
Sent using Cash Money Wings
Hapo hunenda tukaendabkwa jeremie boga wa sassulo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ambae m/kit wao ameconfirm alikutana na marina juu ya kuactivate buy back optionSidhani kama Chelsea itatoa £120M kumsajili Sancho. Bado tuna maeneo mengi ya kusajili kwenye kikosi
Sent using Cash Money Wings
boga mbon yuko vizuri t
Hapo hunenda tukaendabkwa jeremie boga wa sassulo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ambae m/kit wao ameconfirm alikutana na marina juu ya kuactivate buy back option
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kepa ni mzigo kwa the blues gharama yake nikubwa kuendelea kukaa kwenye timu kama ChelseaKwangu sioni haja ya Chelsea kumuuza kepa Cha msingi wanatakiwa waimarishe safu ya beki kwa kukasajili beki wa Kati mmoja, beki wa kushoto mmoja mbona kepa msimu uliopita kacheza vizuri.
Mkataba aliusaini tar 23 Nov 2018, Zaidi ya mwaka uliopitaNimeshakueleza hao wote wanacheza na habari za zamani wasipopata mpya, mimi nimekupa fact za mkataba wenyewe wa Kante na Odoi. Hao wengine hata kama wako elfu achana nao. Jifunze jinsi media hasa za kwenye website wanavyouza habari, wanabadilisha heading tu bila kubadiulisha core news. Hata wakati wa tetesi za usajili, ukifuatili taarifa inaweza circulate mwezi mzima ikiwa na heading tofauti na tarehe tofauti
Mkuu huyu jama aondoke atakuja hatukoseshe nafasi ya UEFA ambayo ibatuletea pesa kuliko hizo £50mYah kipa ana role yake kwenye mechi. Binafsi sifurahishwi na ubora wa keppa. Hapa tuungane na mrembo wetu Marina twende kiuchumi zaidi
zile £80M zinauma sana. Tuendelee kumchezesha huko mbeleni tumuuze angalau £50M kuliko hii £30M ya sasa
Sent using Cash Money Wings
Kwani Chelsea ndio yenye defense mbovu kuliko zote EPL? kwa nini hizo timu zenye defense mbovu kama Arsenal kipa wao anaongoza kwa saves nyingi? Tatizo kubwa na la msingi la Kepa ni mentality yake. Kama kipa anaamini makossa ya yeye kufungwa magoli mengi ni ya mabeki unategemea atajifunza hapo?. Leno ya Arsenal anaongoza kwa kuwa na mabeki wabovu ila save zake ni kubwaKabisa. Japo ana makosa madogo madogo lakini makosa yake yanaweza kufanyiwa kazi naona. Kikubwa tupate beki mzuri tuwe na safu bora ya ulinzi.
Nakumbuka Cech aliyoenda Arsenal na kukutana na ile safu mbovu alikuwa akifungwa muda mwingine magoli ya ajabu kabisa. Lakini sio kwamba alikuwa Kipa mbovu.
Ubora wa Kepa anajiamini sana mpaka anawarushia maadui mpira, Ukifanya review ya mechi tulizofungwa kizembe ndio utajua Kepa hafai kuka golini mwa timu kubwa kama ChelseaKeppa ana ubora wake na udhaifu wake. Keppa anaruhusu mistake ndogo ndogo zinameza ubora wake. Nadhani pia umri wake mdogo unachangia.
Keppa kuwa hatabiriki kuna muda unaotegemea atafanya save hafanyi, na kuna muda ambao hutegemei atasave ndio anasave.
Nadhani tatizo kubwa la keppa lipo kwenye akili yake. Afundishwe jinsi ya kusoma mchezo.
Kuna goal flani alifungwa baada ya kufanya save makini, baada ya ile save akawa relax, hakuendelea kuwa makini kufuatilia uchezaji, baba jamaa alituma fataki la chinichini nje ya 18 keppa kuja kushtuka ngoma hii hapa akapishana nayo.
Sent using Cash Money Wings
Yaani Sancho akikaa kulia na Willian kushoto na Hakim forward wa katikati hata Batshuayi atakuwa mfungaji bora wa EPLYeah but naona skysport wanasema bado tunamuhitaji sancho hata kama tumemsajil ziyech
Deal ya sancho ikikamilika itakuwa poa na back up zaonzitakuwa ni pulisic na odoi
Alex telles twende na huyu jamaa
Beki wa kati kunayule jamaa wa rb liepzig umpenecano sijui kama jina nimepatia twende nahuyu thaman yaki haiwezi izidi 60
Koulibaly ninmzuri but fee yake ni kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasituumizie tuu kifaa chetu. Msimu ujao ni zamu yetu kuwatimulia vumbi wapinzani wetu.
Sent using Cash Money Wings