Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nadhani ulichoongea hapo hakiwezi kuwa mastared kwa msimu mmoja. Inahitaji muda wa walau hata msimu mzima kuweza kutengeneza duo au patnership konki. Umetaja Liverpool na Man City hao imewachukua zaidi ya misimu miwili kuwa vile.

Tunahitaji muda zaidi na naomba Lampard apewe muda kujeng timu hizi timua timua za makocha zinaturudisha nyuma sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oky kwa mfano KANTE akarudi kucheza original position Defensive Mildfilder.

JOGNHO akaendelea kucheza nafasi yake.

Kovacic/Mount wakachezeshwa ATTACKING MIDFIELDER perfomance pale katikati itakuwaje?

Sent using Cash Money Wings
Kuwachezesha Kante na Jorginho position moja means tumeamua kudense zaidi kwa sababu unawalazimusha wabaki nyuma kusaidiana na mabeki kukaba huku mbele ukiacha watu watatu. Hii inatokea baadhi ya gamr ambazo unajua utahelemewa sana so uwe unafanya counter attack.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu attacking midfild tunaye RLC. Huyu jamaa ana nguvu, kasi na ni mbunifu. Sema ngoja apone aje kusaidiana na Mount

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo inabidi acheze na formation ya 3-4-3 ili kuzuia counter attack za man u hiyo ndo silaha yao ukiwachika hapo wanakuwa team ya kawaida.
 
Mkuu hata Hazard alikua mvivu kukaba ila alikua anakimbiza balaa. Hata RLC hana tofauti sana na Hazard sema RLC hajapata playing time ya kutosha ila ni bonge la mchezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ufupi tunahitaji all the time striker hata kama tumefungwa awe amefunga ata ka goli ka kufutia machozi......Mimi binfsi siamini kama Tammy ni striker wa kiwango cha the blues naona kama anatupotezea nafasi nyingi hana kosa basics za ma striker nyingi kama dribbling vichwa unyanganyaji mpila ukabaji positioning nk. Tungekua na striker kama Aubmayanga wa Arsernal tungekua nyuma ya Liverpool .......mtazamo tu Mimi sio professional

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KEPA
85 Total Appearances
94 Total Goals Conceded
 
Mfumo wa leicester ulikua na kante na drinkwater.

Mfumo wa chelsea ulikua na matic na kante..

Wote ni defensive minded player,, na pia styles za kiuchezaji za timu zilikua zinafanana.. Yaana kukaba sana na kupiga counter attack...

Chelsea sasa mara nyingi tunatumia sana mfumo wa 4-3-3,, kwenye mfumo huu naona giorginho kama namba 6 bora kabisa kwetu..

Mara nyingi giorg asipoanza au akitolewa kwa sub(hua anapata njano nyingi sana huyu jamaa), hua tunateseka mno. Utulivu wa timu unapotea na pia creativity inakua ndogo sana...

Kwa mfumo huo ni bora 100% aanze giorginho, kante & kovacic.. Tutaperform vizuri tuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Willian 'was dropped' for Leicester draw after 'sulking' over failed Barca move

Willian was dropped for Chelsea's 2-2 draw with Leicester last weekend because of his attitude, according to reports.


The 31-year-old started the game on the bench before being given the nod at the King Power Stadium in the second half on Saturday.

The Brazilian winger was said to be sulking during training after he saw a January move to Barcelona to fall through, prompting Blues boss Frank Lampard to take action, according to The Sun.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea new signing four word message to the fans
"Blue is the colour."
-Edwin Andersson

The highly-rated 16-year-old, who has been tracked by Manchester United, had a deal provisionally agreed with the Blues for several months but his transfer has now been confirmed by the Swedish side.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…