Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,050
- 27,454
Kama January katoa pesa hiyo basi dirisha kubwa lazima iongezeke. Anaweza ongeza hata 100 au 150 iwe £300. Ila kwa jinsi nionavyo nahisi Lampard hataki kufanya sajili kubwa kubwa au hataki kufanya sajili kiholela.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashabiki tuliomba tufungiliwe ban, lakini kocha alikuwa na plan zake.
Kama lampard angekuwa na plan ya kusajili wachezaji kama sancho, werner, Dembele au Chiliwel tungewanunua halafu tuwaache kwenye club zao waendelee kucheza kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu, kama tulivyofanya kwa Pulisic.
Kinachonipa wasiwasi Abromovich atatoa pesa nyingine kwenye dirisha kubwa au hizi alizotoa January £150M ataziacha kwanza zitumike?
Sent using Cash Money Wings
Wasipopatikana je? Wakaamua kwenda timu nyingineNi vema tukasubiria dirisha kubwa tumpate Werner au Dembele
Sent using Cash Money Wings
Chelsea, Arsenal, Man U zimefanana kwa kutokuwa na mkakati wa kuunda timu. Na ndio maana wachezaji wazuri wenye kutaka kuboresha taaluma zao hawako tayari kuja kwenye hizi timu tatu
Mvuto katika soko la usajili haupo tena kwa wachezaji imefika kipindi hadi Cavani babu wa miaka 33 anatukataa sisi ana itaka Atletico Madrid. Kwa jinsi inavyoonekana pesa inaweza isiwe kila kitu ila career ya mchezaji ndio kitu uhimu kwake.Chelsea, Arsenal, Man U zimefanana kwa kutokuwa na mkakati wa kuunda timu. Na ndio maana wachezaji wazuri wenye kutaka kuboresha taaluma zao hawako tayari kuja kwenye hizi timu tatu
Sasa hivi wanataka Liverpool na Man city kwa England au Barcelona na Real Madrid hata Atiletico Madrid wamezizidi hizi timu tatu kwa kupendwa na wachezaji wa Cadre hiyo. Serie A sasa ni Juve na Inter
Cavani kakataa Man U na likely ataikataa ofa ya Chelsea
Timo kuna uwezekano akaikataa ofa ya Chelsea kama Liverpool na City wakimtaka
Tutaambulia tu Dembele na akina Zaha
😁😁😂halinacha hizoo
DuhApange hicho kikosi aache kupanga wachezaji wake tegemeo akina barcley.
Mwenzio hajaelewa
Naona kijana umerudi kwa kishindo.
Unatumia ya wapi mzee baba?TUKUTANE DIRISHA KUBWA
Jadon Sancho - €120M
Timo Werner - €75M
Alex Telles - €40M
Koulibaly - €75M
Oblak - €100M
TOTAL = €410M
Sent using Cash Money Wings